Alichonifanyia rafiki yangu namuachia Mungu

Funga safari kamtembelee jamaa na umpongeze kwa kupata mke mwema. Mdada nae mwambie " shem ama kweli Mungu hasemi uongo" Hongeren sana.
 
Ungepiga hapo kimoja mkuu.mimi siachagi hata nikitemwa alafu tukakutana mahali akinielewa mm kama kawa
 
Mimba sio yako na ulishajua hilo so kwa akili ya faster ulitakiwa ku handle ili upate papuch tu then mtoto piga chini.
 
yani wa africa bwana ukisikia wanaume wana fight for personal issue basi ujue ni ugomvi wa mbunye ha ha ha
 
alafu mkuu huyo demu hukumkuta bikra so ujue ulimnyang,anya mtu demu wake so na wewe piga usepe
 
Hapo tumaini nina demu wangu, mtakua mnamtafuna sana nyie wahuni mamaee......Ila Iringa kwa UKIMWI unatakiwa uwe makini sana laaah sivyo utakua unaruka sarakasi kwenye transformer kila siku
 
Huyo mwanamke anaonekana ni njaa sana na ni type ya wasaka ndoa kwa udi na uvumba.
Mshukuru Mungu umelijua hilo mapema angekuja kukusumbua huyo.
 
Acha tamaa kama kupiga ushapiga wivu wanini? Huyo dem amekusaidia sana coz amejua huna hatia, kapeleka mimba kwa mwenyewe. Shukuru umeliona mapema maana huyo si saizi yako laiti ungemuoa chamoto ungekiona
 
Endelea na shughuli zako hakuwa wako
You know shida yangu hapa sio huyu mwanamke no,coz mwanamke nilishaachanane kitambo sana almost mwaka hatuna mawasiliano na kwa mazingira haya mwanaume yeyote angemchukua,tatizo langu ni huyu rafiki yangu ninayemtrust kunifanyia suprise-za kishamba.
 
Hapo tumaini nina demu wangu, mtakua mnamtafuna sana nyie wahuni mamaee......Ila Iringa kwa UKIMWI unatakiwa uwe makini sana laaah sivyo utakua unaruka sarakasi kwenye transformer kila siku
Huyo demu wako atakuwa miongoni mwa makontena ya mama salma kikwete maana walivyomwagwa utafikiri unga wa wakimbizi jamani!
 
Hapo tumaini nina demu wangu, mtakua mnamtafuna sana nyie wahuni mamaee......Ila Iringa kwa UKIMWI unatakiwa uwe makini sana laaah sivyo utakua unaruka sarakasi kwenye transformer kila siku
Sorry am joking! si unajua tena huu mchezo hauhitaji hasira wajameni!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom