Recent content by caven dish

  1. caven dish

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wangu mdogo lakini nimemkuta kalala na msichana

    Eeee mwaya kamshawishi akamshikia na fimbo!
  2. caven dish

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wangu na tabia ya kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii

    na wewe jiunge na instagram...
  3. caven dish

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Sijasoma comments za watu wengine so probably wameshakwambia haya ninayo kwenda kusema. badiebey pole sana nayajua maumivu ya kuachwa, hivyo naelewa hali uliyokua nayo kwa sasa,pole sana. Ila hii sio sababu ya wewe kuendelea kujisikitikia na kujihurumia bali inuka kung'uta vumbi maisha...
  4. caven dish

    JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums tunaokaa Tegeta tufahamiane

    babes nataka kujifunza kuogelea... Edobeny nikiruhusiwa tu nitaujulisha tuanze darasa weekend hii
  5. caven dish

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wa mke wangu wamehamia kwangu kabisa, nyumbani hakukaliki

    Hahahah yo surely made my day!
  6. caven dish

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora mwanaume wa Kibongo, kuliko mwanaume Mkenya kwenye mapenzi

    weka na list ya mazuri yake yanayokupagawisha kisha upime
  7. caven dish

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wangu yupo busy, nifanye nini?

    ..now I understand... thou I beg to differ kuna ule msemounasema "kama ni muhimu utatafuta njia (moja wapo ikiwa kumueleza mwenzawako na mkubaliane mawasiliano yenu yaende vipi) lakini kama hakuna umuhimu(hapa naongelea wa relationship) basi utatafuta visababu tu…hivyo nakubalianana gorgeousmimi...
  8. caven dish

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanamke kanichanganya, nilimwambia asitoe mimba akatoa

    KUNGURUHAFUGIKI probably wakati una create user name yako you had her in mind..lol just thinking out loud hahaha! Pole
  9. caven dish

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Uso kwa uso na shemeji gesti

    najaribu kuunganisha dots na uzi wako wa kwanza kabisa kuhusu uume wako, mkeo ni mfanya kazi wa bank au aliacha? na inaonekana kwao mambo safi dnio maana mamake alikutafutia kazi Tabora...ain't judging lakini ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
  10. caven dish

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Dar

    bae are you back in town?
  11. caven dish

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    I beg to differ with you, usimpotoshe mwenzio. Endapo weweunamvumilia easy-taker wako ni vile tu Hukupata bahati aliyoipata Bobby- kuona rangi mapemaaaa.Hivyo wote wana kazi? Kesho mume kalost…si atakula jeuri yake mpakaashangaeeee.. Ushauri wangu kwamhusika bora ukosee kujenga...
  12. caven dish

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    Don't blame her mimi mwenyewe nina mwaka wa 5 sasa tumeseparate na mume, niko kwenye hali hiyo hiyo ya sintofahamu na tuko nae mji mmoja, hajaoa bado...pengine na mimi nianzishe uzi nipate ushauri....
  13. caven dish

    JamiiForums Tanzania What's the last movie that made you cry?

    I watched "my name is Khan" last night and woke up with puffy eyes
  14. caven dish

    JamiiForums Tanzania What's the last movie that made you cry?

    I bet you cried laughing your #@% out!
  15. caven dish

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania To hell with love, Am Tired of Trying

    Wewe baba wewe! Hujamaliza case ya Valentine ujue...ohooo
Back
Top Bottom