Recent content by CattleRustler

  1. CattleRustler

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Vodacom Tanzania wanawaibia wateja wao muda wa hewani (Airtime)

    Tanzania tunaongoza na huduma za simu ghali na za kitapeli kuliko nchi yoyote duniani
  2. CattleRustler

    JamiiForums Tanzania Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

    Watu waliompiga risasi utawajua kwa maneno yao
  3. CattleRustler

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa, upinzani unaweza kususia na Uchaguzi mkuu 2020

    Nimeshidwa kuacha kukujibu japo muda mwingi umepita. Mimi kama raia sijawai kuipigia CCM toka nizaliwe. Na mgombea uraisi wakwanza kumpigia kura ni mrema. Kipindi cha mwinyi niliona watu wakizulumiwa nyumba na ardhi na jeuri ya wauza madawa kutoka zenji na watoto wa majirani kuaribikiwa na...
  4. CattleRustler

    JamiiForums Tanzania Hii jamani ni kweli; Kuna watu bandarini wanalipwa Tsh. 18,000/=

    Hiyo ni dola 6 kwa siku.
  5. CattleRustler

    JamiiForums Tanzania Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

    Mkuu siafazali bibilia maana wanasema kuruani waliichakachua kipindi cha kaliphate ya mawaiya (kama sijakosea jona) na wakachoma vitabu vingine vyote. Dini zote hata za waafika kama dini ya kinjekitile zilikua ni mbinu ya kutawala kama sera ya viwanda
  6. CattleRustler

    JamiiForums Tanzania Miaka miwili ya Magufuli sikuthubutu kusema neno, sababu...

    unavutashuka wakati kumeshakucha
  7. CattleRustler

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa, upinzani unaweza kususia na Uchaguzi mkuu 2020

    Lakini bado njia pekee ni kuendelea kuahiriki katika uchaguzi hata kama watakubambikizia kesi. Najua sio rahisi kupata watu wanaoweza kujitoa muhamga koasi hicho. Lakini ndio njia pekee ya kupambana na madikteta. Ndio maana kagame anamwogopa yule dada maana amethubitu kuto mwogopa kagame na...
  8. CattleRustler

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu Mzee Lowassa

    Ule ni waya wa umeme.
  9. CattleRustler

    JamiiForums Tanzania Mapya na Mengi Kuhusu Ndege ya Tanzania Iliyozuiliwa Huko Canada

    Hatari zaidi inawezekana halijui kinachoendelea na linadanganywa na wachache wanaojua kula na kipofu bila kumgusa mkono
  10. CattleRustler

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    Kwanini? HTLM5 compliance ?
  11. CattleRustler

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ________________________ _________________ _________________ _________________ Unamaanisha simu mchina mchina aziwezi kuchora hio mistari?
  12. CattleRustler

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    You must be a graphic design major
  13. CattleRustler

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    What is your point?
  14. CattleRustler

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ________________________ _________________
Back
Top Bottom