Recent content by Catherini

  1. Catherini

    JamiiForums Tanzania Mim ni Mgeni

    Sawa
  2. Catherini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninalipenda lile tangazo la kwenye mikanda ya ngono!

    Mimi nawafahamu karibu wanaJF wote
  3. Catherini

    JamiiForums Tanzania Maisha halisi ya Watanzania waishio hapa Afrika Kusini

    Daaah ndefuu
  4. Catherini

    JamiiForums Tanzania Water pump inahitajika

    Wekeni picha za pump...
  5. Catherini

    JamiiForums Tanzania StarTV wasaliti agizo la Chama cha Wandishi wa Habari

    Wakati anahitimisha kampeni 2015 aliisifia star tv kwakumsaidia kutangaza matukio ya kampeni, aliahidi atailinda
  6. Catherini

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi

    Naona kama ulichoandika ni kutaka kujifurahisha na kutufurahisha tu, kwanini tukuamini?
  7. Catherini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kipimo gani unakitumia kumpima mpenzi wako kama anakupenda au anakuzingua ?

    Test tube
  8. Catherini

    JamiiForums Tanzania Reverse kuleta shida

    Ahsante mkuu, ngoja nitafute ingine
  9. Catherini

    JamiiForums Tanzania Reverse kuleta shida

    Mark 2
  10. Catherini

    JamiiForums Tanzania Reverse kuleta shida

    Moja kwa moja ni automatic mkuu, shida ipo kwenye reverse gear tu. Woga wangu isijeleta shida gearbox nzima
  11. Catherini

    JamiiForums Tanzania Reverse kuleta shida

    Kama mwezi hivi au wiki 3, nikiweka gear ya reverse inachelewa kutembea (tofauti na nikiweka D-Drive), nikiongeza mafuta inaondoka kwa kushituka kwa nguvu. Nilipeleka kwa fundi wa 1 akasema kawaida, nikapeleka gereji ingine nikambiwa tujadili gearbox fluid, tukafanya hivo but hakuna mafanikio...
  12. Catherini

    JamiiForums Tanzania Jovin Kwanini unataka kumfukuzisha mume wangu kazini?

    Usikute "Jovini" ndiye huyo "mtukufu"
  13. Catherini

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusokelo apinga ndoa za mke mmoja

    Hivi kwanini hakuna mtu mwingine anayeongoza ibada kanisani kwake?
  14. Catherini

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusokelo apinga ndoa za mke mmoja

    Yeye kaoa wangapi?
  15. Catherini

    JamiiForums Tanzania Serikali: Fedha za Maafa ya Tetemeko Kagera zimeelekezwa kwenye Taasisi za Umma

    RAS, mkurugenzi na yule muhasibu wwliotimuliwa waliyaona haya mapemaaa wakafungua akaunti nyingine. Hivi rais wa wanyonge alishafika Kagera kuwajulia hali waathirika? Ooooohh ni ile ilee... Ndindindi.....
Back
Top Bottom