Water pump inahitajika

kitumbotala

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
516
623
Nahitaji water pump kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji wakuu,
Iwe ya kutumia Petroleum na pia iwe inch 3
Naomba kujua kama kuna mwenye nayo au amaweza kunisaidia bei zake na picha nikazijua
Asanteni
 
Nahitaji water pump kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji wakuu,
Iwe ya kutumia Petroleum na pia iwe inch 3
Naomba kujua kama kuna mwenye nayo au amaweza kunisaidia bei zake na picha nikazijua
Asanteni
weka namba yako mkuu. mimi naziuza mpya kabisa kwa bei nafuu. nipo Dar
 
Mkuu hizi kitu zinahitaji uwe makini sana,kuna original na kuna fake na zinafanana kila kitu,cha msingi kama upo dar es salaam nenda kariakoo maduka yanayoelekezana na standa ya mabasi ya mwendokasi (gerezani)utazikuta nyingi na chunguza vizuri utaamini nnachokwambia
Kila laheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom