Ninalipenda lile tangazo la kwenye mikanda ya ngono!

kuna mtumishi alisema ni dhambi.. halafu akasema eti unavyoangalia zile picha kila unaye mwangalia umezini naye nikapiga mahesabu nimeshazini na wengi na moto wa milele utanihusu.. sasa nikaamua kuacha tu bora niendelee kuzini na wabarabarani bara moja kwa mwezi si mbaya
hahaha eti mara moja moja kwa mwezi
 
Nikiwa kwenye usafiri wa jumuia nakua mpole simu kwenye pochi maana kuna siku nilikua busy kuchungulia mada JF kumbe kuna jamaa nyuma yangu anakula chabo mara simu ikazima,katika kioo cha simu nikaona mtu macho kodo busy kwenye simu yangu kugeuka tukagongana vichwa.

Kuna watu wana hamu za kujua ID za wenzao ila wao wasijulikane aiseee
Mi najificha na hua hata sikomenti nkiwa kwenye dalaldala
 
Hahahahaha lol! Kwa hiyo siku hizi unamchora tu. Kuna jamaa humu alikuwa siku moja amekaa na mkewe sitting room kwao kila mmoja kakaa kiti tofauti kama vile wanaangaliana huku kila mmoja yuko busy na lap top yake.

Basi mke akainuka kwenda ama chumbani au jikoni. Njemba ikainuka haraka ili kuangalia mkewe anafanya nini kwenye lap top yake maana haikufunga. Ndipo akakuta yuko JF na hivyo kugundua ID yake.

Mke kurudi hakustukia chochote kile. Njemba ikaingia humu ili kujua mkewe anaandika nini humu, maana naye alikuwa mwanachama mshiriki mzuri.

Na ndipo alipogundua mkewe ni mshiriki mkubwa wa MMU na pia huandika kusifia utamu wa kuliwa tigo.

Jamaa akaanzisha uzi humu na kuonyesha kuchanganyikiwa sana baada ya kuyasoma yaliyoandikwa na mkewe humu na wakati hata siku moja hawajawahi kuzungumzia lolote lile kuhusu tigo. Akauliza maswali ya msingi nani anamla tigo mkewe na ameanza lini kuliwa tigo.

Njemba ama aliamua kubadili ID au kusepa humu na hakutoa mrejesho kama ndoa yao ilidumu au ilikufa.
wewe BAK Leo umeamua kunipa raha looohh!!!
 

Similar Discussions

29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom