Recent content by cashmoney

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini akina dada niliowahi kuwachumbia wakanikataa wana maswali kama polisi?

    Ukishasilimu unatakiwa kuachana kila linalohusu imani uliyoiacha. We umeoa sasa mawasiliano na wanawake ulikuwa unawataka wakakutaa ya nini? Huna uwezo wa kusitisha mawasiliano nao?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Lazima nishambuliwe kwa mada ya leo

    Kitty sa si umeshasema we ni player na hapo ulikuwa kwenye anga zako sasa unataka tukushauri nini? Maplayer huwa hawapendi, wana-hit na ku-run, so just keep on playing na wala usijali hao victims coz they have to hate the game not the player!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini ipo hivi?

    Biashara matangazo! Naona unajaribu kutafuta 'kiki' ili mijanaume yenye tamaa ikufuate pm.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini ipo hivi?

    Biashara matangazo! Naona unajaribu kutafuta 'kiki' ili mijanaume yenye tamaa ikufuate pm.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Itawezekana mimi na yeye kuoana kweli?

    Afu' hizi mada zenu siku za kupendana na kutaka kuwa pamoja ndugu kwa ndugu wa damu moja mmeshaona fasheni?? Hili nalo mtahitaji hadi wazungu wafanye utafiti na kutuambia kuwa si sawa na hata wao hawafanyi? ...kama kweli huko mbeleni kuna moto basi kuna watu watakuwa kuni za kuchochea.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hawawapendi ndugu wa mwanaume?

    Unaposema Wanawake umemaanisha na kuwajumuisha wote? Kwa takwimu au tafiti zipi?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nahisi kufa kwa mawazo

    Ushauri wa kuongezea: badili (rename) jina la hiyo ID yako.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika

    Amekosa alivyotarajia kuvipata hivyo hata ukilazimisha haitakusaidia, tafuta mwengine anayekupenda na sio tu unayempenda wewe afu yeye asikupende. Pia uache kujidharau kwa kuwa umeishia std 7, wanaume huheshimiwa na kupendwa na wanawake kwa mambo mengi.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kosa langu liko wapi hapa?

    Yupo na wewe kutimiza mahitaji yake. Akili za kuambiwa unatakiwa uchanganye na zako, si kila anayekwambia anakupenda na akakuvulia pichu basi ujibweteke na kuamini anakupenda. Chukulia hayo mahusiano kama funzo usije fanya makosa mbeleni. Achana naye, kusema uongo hata kwa Mungu ni kosa kubwa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Akiniona anajificha, atakuwa ananipenda au hisia zangu tu?

    Atakuwa anakuhusudu mtokee tu fasta.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka miwili simpendi tena

    Ni wazi kuwa hujui unachopenda kwenye mahusiano ya mapenzi. Kaa chini ujitafakari ili ufanye maamuzi sahihi usije ukapatwa na mengi huko mbeleni. Kupenda ni suala zito lakini cha ajabu wengi tunapenda kulichukulia kirahisirahisi. Usiji-commit kwa mtu kwa nia ya mapenzi wakati unamuhitaji kimwili...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wangu yupo busy, nifanye nini?

    Hakunaga kitu cha kusema mtu anaweza kuwa busy hadi mawasiliano yakawa hafifu kwa ampendaye, kila kitu kina nafasi yake, ni kusudi na mazoea mliyonayo ktk hayo mahusiano yenu, ukitaka kuthibitisha hilo kumbuka mwanzoni kabisa wakati mnaanza hayo mapenzi mawasiliano yenu yalikuwaje! Mapenzi ya...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wangu wa kemia ananitaka kimapenzi

    Ndo maana 'naniliu' alisema wanafunzi kupata mimba ni kihelehele chao.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kuishi na mwanamke mlalamishi

    'Ukiwa mwanaume, mwanamke yoyote unapaswa kuishi naye kwa AKILI'
  15. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mume wangu ananiachia majukumu

    1-anza kuwa na msimamo kwa kumfanya mumeo awajibike kwa nafasi yake kama baba na mume ktk familia kwa kutoa mahitaji kwa kadiri ya uwezo wake. Akisema hana na wewe sema huna, wanunulie watoto chips na waambie baba yao akirudi wamlilie njaa. 2-mkubarie ombi lake ila muwekee masharti kuwa kwa...
Back
Top Bottom