Kwanini ipo hivi?

Kwanini ipo hivi?

mkubalie mwalimu wako.wa chemistry amekuahid kukuoa tayari...kama shida ni kuolewa
 
wewe si umeanzisha mada kule ukijidai una bikra kumbe umeshatusuliwa siku nyingi umebaki tu na mashimo kama ya bulyanhulu

Hajui kwamba we can view post zake zote. Hana jipya saana. Anatafuta kick
 
Ebu achaneni na huyo mtu..Naona anajaribu kupima akili za watu wa humu JF. .Nimesoma nyuzi zake tatu..mara anasema mwalimu wa kemia anataka kumbaka...mara bikra mara anataka kuolewa...
 
Kioo chako kinakudanganya...lazima utakuwa mbaya sana. Au inawezekana kweli ni mzuri lkn una muonekano wa kichangu. Hlf tambua kuwa u are not wife material so usipobadilika wenzako wote wataolewa unawaangalia tu. Aliyekwambia mwanaume anaangalia sura na shape wkt anaoa ni nani. Binti..grow up na ujitambue.
 
Hivi kwanini wanaolewa hawana shepu wala sura. Mfano rafiki zangu sio wazuri wala nini lakini wanaolewa. Mimi nina shepu na sura nawashinda wote lakini mbona siolewi na sidumu na wanamme.

Wengne wasema nimelogwa eti inaweza kua kweli jamani.


Msada tafadhali.

Thanx for your advice.

Tatizo wazuri hamjui kulea wanaume mnataka haki sawa
 
Mie na shepu na sura na guuu najicho weee nanimeolewa na baby wanguananipenda sema we huna nyota yota yako ya panzi kupeperuka
 
Biashara matangazo! Naona unajaribu kutafuta 'kiki' ili mijanaume yenye tamaa ikufuate pm.
 
Biashara matangazo! Naona unajaribu kutafuta 'kiki' ili mijanaume yenye tamaa ikufuate pm.
 
Aliekuambia uzur ni shape nani!? waweza kujiona mzur kumbe n mbaya kwa wengne.. Hvyo vuta heri yupo ataetokeza atakaekuona mzur atakuoa. Kuolewa pia n bahat ya mtu, ingekuwa n uzur na shape bas warembo wote wangekuwa tyr wake za watu. W'une wanataka heshima, kuanza jiheshimu mwenyew. ht ukiwaje utaolewa tu heshma n jambo kubwa sn kw w'ume.. upoo!!
 
Mnaringa sana na mnajickia sana,vilevile mnakuwa na dharau na mnakuwa hamjal mahusioni ''kwa maaana hamtunzi wala kuonyesha bidii zako''''kwa kujickia wapo wengi wanaume nitapata mpaka inafikia unakua umeliwa na wengi na kuonekana malaya,xo anaona anapoteza time anasepa kule kwenye thamani,na wakat mwanaume hupenda anayemsikiliza na kumuheshimu
 
Hivi kwanini wanaolewa hawana shepu wala sura. Mfano rafiki zangu sio wazuri wala nini lakini wanaolewa. Mimi nina shepu na sura nawashinda wote lakini mbona siolewi na sidumu na wanamme.

Wengne wasema nimelogwa eti inaweza kua kweli jamani.


Msada tafadhali.

Thanx for your advice.

nenda kwa mwalimu wa kemia atakuoa
 
Back
Top Bottom