Roselle von j
New Member
- May 25, 2015
- 2
- 0
yu dont give up k....... we cha kufanya mchunguze ili upate uhakika kama kwel sawa,den utanambia wat he mean tu yu,or ana malengo gan kwako..........
tatizo la huyu jamaa siyo kuwa ni mdadisi bali ni viroba,,hawa si wanaume wa rombo hawajielewiHakuna kitu cha hvyo tatzo elimu na kuto dadisi mambo kwake anaona aibu ndo maana hajui chochote adi grfrnd wake anamdangany kahamia saut il asimsumbue kumbe yumo humohum dar.
Lutena
ukitaka kuandika humu ndani usiwe unakunywa viroba ndiyo unakuja humu hiv ulishaona wapi kwa kibongobongo mtu anahama chuo ? yani kutika UDS to SAUTI? yani mijitu mingine sijui hamhielewi na mnavokuwa mnaandika yani mnakuwa kama wabunge wa CCM! ,,,ebu kalale kwanza viroba viishee
Amekosa alivyotarajia kuvipata hivyo hata ukilazimisha haitakusaidia, tafuta mwengine anayekupenda na sio tu unayempenda wewe afu yeye asikupende. Pia uache kujidharau kwa kuwa umeishia std 7, wanaume huheshimiwa na kupendwa na wanawake kwa mambo mengi.
mkuu CHIEF na wala c viroba sema ww hujaelew vle na namanisha, UDS ni kwamba kapata diplpoma so hakupa kaz so akaona ajiendeleze anasomea sheria