Recent content by carnte

  1. carnte

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba afurahia mpaka machozi hukumu ya Lulu, asema anaenda makaburini moja kwa moja kumzika rasmi

    Huwa najiuliza hivi wanawake mna roho gani...nilikua naangalia mitandaoni kufuatilia kesi ya Lulu... Picha moja inaonesha Mama Kanumba anafurahi Mama Lulu Amalia Nikaja kugundua wanawake hawapendi habari nzuri ya mtu mwingine ndio sababu ya UMBEA Nikarudi nyuma nakupata picha ambayo humfanyia...
  2. carnte

    JamiiForums Tanzania Piga simu hapa bila kutumia vocha hata mia yako

    Mkuu kwanini unajiita baby halafu we ni me
  3. carnte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufuatia Magumashi ya Billionaire Maprosoo wa nyumba za Lugumi sasa wadada mna haki ya kuwathaminisha wanaowatongoza

    Hilo saga nalifahamu...nataka kujua ni nini mnamaanisha mkiandika hivi D:D:D:D
  4. carnte

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto atarajia kufungua Duka la nguo na urembo

    Dada unakufuru
  5. carnte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufuatia Magumashi ya Billionaire Maprosoo wa nyumba za Lugumi sasa wadada mna haki ya kuwathaminisha wanaowatongoza

    Mkuu consult Mimi ni muhenga...tafadhali nijulishw nini maana ya hiki mnachoandika vijana D:D:D nisije nikaendelea kuumbuka
  6. carnte

    JamiiForums Tanzania Nauza simu mbili; moja elfu 50 na nyingine elfu 35

    Paulina unaweza kuweka picha
  7. carnte

    JamiiForums Tanzania Madame B niko online, niulize swali lolote kunihusu mimi, iwe ni Mapenzi, Mahusiano na mengineyo

    Huu Uzi sio mzuri kabisa...najua ntapigwa mawe hapa
  8. carnte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ikikutokea hii unachukua maamuzi gani?

    Pole mkuu
  9. carnte

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa na matajiri wapya; Makigo na Yanga ndio wanaongoza

    Duuh unatuabisha wanaume wa mkoa...hebu badilisha ID,ndio nini mwanaume kujiita 'BABY'
  10. carnte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Wengi hawajacoment kwa sababu ya guilty Wahanga wa kushiriki zinaa kwa mda mrefu ni victims wa huu mchezo ...no wonder inafanya ndoa zinayumba kwa sababu za kijinga za kuchepuka kama hizi Matokeo imeleta laana na balaa kama UKIMWI na umasikini katika familia na ndoa kuvunjika Kiafya sio nzuri...
  11. carnte

    JamiiForums Tanzania Nyumba mbili za Lugumi zauzwa kwa Dr. Shika kwa Tsh. 2 bilioni. Mnunuzi abainika kuwa ni tapeli, mnada kurudiwa

    Wee mzigua hatariii unavijua vibabu vilivyokaa njema ehhh... Basi sawa
  12. carnte

    JamiiForums Tanzania Rubi yupo wapi siku hizi?

    We jamaa umenichekesha sana...umenikumbusha kipindi mshua anatoa hela ya kwenda shule usiku kesho ndo safari...huo usia unaweza kususa pesa
  13. carnte

    JamiiForums Tanzania The invisible and visible governments of United States of America (USA)

    Mkuu fuatilia serikali yako pendwa ya chama tawala cha CCM
  14. carnte

    JamiiForums Tanzania The invisible and visible governments of United States of America (USA)

    Mkuu hivi ninyi biblia mlinyofoa vitabu vingine mkabaki na Daniel na Ufunuo tuu
  15. carnte

    JamiiForums Tanzania Fursa! Fursa nafasi ya kazi mdada msaidizi wa kazi mshahara tsh 80000/= kuendelea

    Huo mshahara unazid graduates wengi maana hapo kula kulala bure...hamna nauli
Back
Top Bottom