Nauza simu mbili; moja elfu 50 na nyingine elfu 35

Traviana Tray

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2017
Posts
546
Reaction score
457
Habari zenu??nauza simu ya tochi used haina ufa elfu 35 ina camera ni halotel,kama upo tayari ni pm.
pia nauza screen touch ni itel used elfu 50 kama upo tayari ni pm.
 
Jamani....hela ya kula ni ngumu usawa huu, na uspoangalia utanunua vitu kibao halafu na wewe unakosa hela tena....
Nahisi mh. Ni mda wa kulegeza kirungu maana njaa imetamalaki kitaa. Hahahaha
 
ok
 
Back
Top Bottom