Recent content by carmel

 1. carmel

  Jumamosi irejeshwe kuwa siku ya kazi ofisi za umma

  kwa mshahara upi haswa
 2. carmel

  Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!

  muulizeni baba yake kwa nini alijiua.? si ye anajua sana kutoa siri za watu....
 3. carmel

  Demand ya Samaki aina ya kambale

  Wajasiriamali nauliza soko la uhakika la samaki aina ya kambale au Catfish....Hivi kuna hotels ambazo wanatumia hawa samaki.? au naweza je kufanya value addition.?
 4. carmel

  Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

  Natengeneza raised ponds kwa kutumia liners na ma banzi...hii njia n8 cheap na hauhitaji kuchimba chini ardhi yako. Karibu nikufanyie kazi nzuri....0768520042
 5. carmel

  Vifaranga vya Samaki

  Kwa Dar es salaam
 6. carmel

  Vifaranga vya Samaki

  Natafuta vifaranga mbegu nzuri. Nani anao wa sato?
 7. carmel

  Natafuta mtaalamu wa kufunga Water Purification System

  Natafuta mtu anayetoa huduma ya kufunga hizi water purification system kwenye ponds. Pls nicheki 0784703920
 8. carmel

  Wataalamu wa Green House

  Inategemea umejenga ya aina gani, ukitumia chuma inakaa hata 15 years but kama ni miti depending na. Type ya mti hata 4years
 9. carmel

  Selection UDSM 2014/2015

  Msaada niangalizieni huyu S1247/0128/2011 kapata chuo gani please
 10. carmel

  Day 1 !!! Uhamiaji

  mngejua walioko kwenye hiyo tume mngejuta! walewale waliosimamia zoezi la assistant inspector na wao wenyewe kuweka ndugu zao ndo wamepewa tume! what do you expect? mmoja wao ni subira Kaporo ambaye mdogo wake mangunda Kaporo nar kachaguliwa kwenye ngazi ya assistant inspector! mengine...
 11. carmel

  My X.nihurumie

  Asprin Mi naona na huu unafuu wa internet hadi viganjani jukwaa limeingiliwa na watoto sasa inabidi tukae mbali maana unaweza kuta uko na mkweo hau mwanao humu. hizi generation za divion 5 plus xaxa xema sweerie mi siziwezi lol.
 12. carmel

  Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

  Hakuna ambaye hakuwa na Kimemo..kwanza waziri ndo aliyeengoza kupeleka vimemo kwa taarifa yenu..Katibu mkuu pamoja na kupeleka vimemo vyake vya kutosha alihakikisha pia kuwa wazanzibari wanaingia tena hata hawana sifa za kutosha wengine...Kwa ufupi kila mtu alikuwa na vimemo vyake. SWALI LA...
 13. carmel

  Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

  Yaani nawashangaa sana watu kufurahia hii kidogo...I wish mngejua kiasi cha uchakachuaji kilichofanyika kwenye nafasi za Mkaguzi msaidizi mngelia. Huko Konstebo na Koplo ni cha Mtoto. Fatilieni yale majina yayalioongezwa kwenye website ya wizara baada ya listi ya kwanza kutoka. HAPA NAONGELEA...
Top Bottom