Recent content by CarlesSerra

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kwa Kiswahili anaitwaje?

    panya buku
  2. C

    JamiiForums Tanzania Swali la kibiashara

    Khaah We vipi! kwanza umesema una uwezo wa kutengeneza VITS, pile tangu umefungua hamna mteja aliyekuja, sasa unataka nini?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kificho kuwa M/Kiti wa muda Bunge la Katiba

    huyu aliyeleta hizi taarifa ni ---- sana sie tunaangalia live hapa yeye sijui anaota? watu wengine aisee
  4. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

    umeonaee! wameanza vituko sijawahi ona, yaani kama watoto wa chekechea
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mtu asiyejulikana agawa fedha jijini Dar

    ukitaka eskoti ya polisi hata kama una laki moja kwenye waleti ni simpo na gharama ya escoti ni ndogo sana, tatizo mnaogopa polisi kupitiliza
  6. C

    JamiiForums Tanzania Utafiti! Wanaume hufanana na wezi wa wake zao!

    Ndugu umeileta vizuri sana hii, hongera ila hapo kwenye red mmmh itabidi ufafanue kwa kina zaidi, kuokoa wake za watu humu
  7. C

    JamiiForums Tanzania 3D............

    Hamna uwezekano wa hiyo simu kutoonekana?
  8. C

    JamiiForums Tanzania tindikali inapatikana wapi

    ndugu umeiwakilisha vizuri sana
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hoteli wanayopika ugali asubuhi

    Asanteeeeee
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nani mwana michezo kati ya hawa wawili?

    Viatu jamani duuuh
  11. C

    JamiiForums Tanzania Traffic Police kanitoza fine kwa kwenda 52km/hr kwenye eneo la 50km/hr!!!

    Siku nyingine nenda kwa speed 40 hadi 45 kwa maeneo kama hayo hapo utaondoa ubishi
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wasichana wasichana ugali tu

    wi meri both
  13. C

    JamiiForums Tanzania Usafiri iringa to dar .

    Subiri wadau watakupatia majibu sasa hivi, ikishindikana ungo ndugu unahusika na Ni fasta
  14. C

    JamiiForums Tanzania Fuvu la binadamu lakutwa kwenye dari ya nyumba ya mtu...!!

    hata mimi. no comment
Back
Top Bottom