TONGONI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 1,041
- 375
Huyu anaitwa PAA maumbile na muonekano wa pembe unatofautiana kutoka Bara moja hadi jingine
Ntamwambia kwa lugha ya kwao hicho kiswahili asije kutukana bure
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
wote waliopewa mji waende kwao hakuna mji mwingine wakuwapa watu
Anaitwa Panda kama sikosei