Utafiti! Wanaume hufanana na wezi wa wake zao!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,834
Watu fulani wanasema, ukitaka nikwambie wewe ni wa tabia gani, nionyeshe rafiki zako ni akina nani, ila mimi nina sema, ukitaka nikwambie wewe ni mtu wa namna gani, nionyeshe mwanaume anaye kuibia demu,mke,au mchumba wako, au hata kama hauibii basi mwanaume anaye mpenda kwa dhati mwanamke ambaye na wewe unampenda kwa dhati.

Mnamo mwaka 2005, niliingia katika mahusiano na mdada ambaye alikuwa na uhusiano na mwanaume mwingine, makubaliano yetu mimi na yule mdada yalikuwa, niweke ukuta kati yangu mimi na yule jamaa ili asije akanifahamu kwa namna yoyote ile. Kadri siku zilivyo kuwa zinazidi kwenda nikajikuta nagundua mimi na yule jamaa tuna vitu zaidi ya kimoja vinavyo fanana sana. Mifano..

1. Wote mimi na yeye ni mashabiki wa Yanga.

2. Uingereza, wote tunaipenda Arsenal.

3.Wote tunaupenda muziki wa Hiphop.

4. Wote tunamkubali Biggie kuliko Tupac.

5. Hapa Tz wote tunamkubali sana msanii mmoja wa Hiphop(jina kapuni ).

6. Wote tunapenda aina za muvi zinazo fanana...
7. Wote tunapenda rangi zinazo fanana,.
8. Wote tunaikubali CHADEMA.
9.Wote hatuipendi CCM.
10. Wote tunawachukia polisi etc

Mwisho wa siku nikaja, kuconclude that, mimi na yule jamaa, tutakuwa tunafanana kwa kiasi kikubwa sana, ndio maana basi hata katika suala la mahusiano, tumejikuta tukiwa tumefall in love kwa mwanamke mmoja....

MY TAKE:

1. Ukitaka kujijua wewe ni mtu wa aina gani, tazama tabia za mwanaume anaye kuibia demu, mke, mchumba wako ama hata kama hakuibii basi angalau anamtongoza/anampenda kwa dhati......

2. Kwa wasichana,, usimkatae mwanaume anaye onyesha kukupenda kwa dhati, eti kwa sababu upo katika mahusiano na mwanaume mwingine! U know why? kwa sababu wote mtakuwa mnaunganishwa na ufalme mmoja, " love kingdom". ufalme hauwezi kuuangusha ufalme wenzake...
 
Khaaaa hii napita........
 
Kwa wasichana/mkeo asimkatae mwanaume mwingine eti kwa sbb yupo na wewe! Hizi akili bwana'
 
So huyo mwanamke alipenda viambatanisho kuliko wewe halisi!!!!!

No wonder aliwachanganya!!!!!
 
kumbe we ni -mme!! anyways, kwa upande mwingine napingana na wewe.. nshawahi kupenda wanaume 2 wakati 1 wenye interests tofauti, mmoja mcheza basket mwingine football, mmoja mrefu na mwingine mfupi,mmoja anapenda movies za story mwingine action, etc... yani kila mmoja nilimpenda jinsi alivyo na interests zake.
 
Wacha nitupie kamtazamo kangu hapa!
Mkuu ulichokiongea ni kweli kinaweza kutokezea but ktk mazingira hafifu sana!
Hapa nikupeleke direct -ASTROLOGY (Elimu ya nyota) kule wamegawa makundi 12 ya watu (sort by birthdays) ambao wanafanana kitabia sometimes hata umbo na mwonekano wao....
Hapa wakatabiria uwezekano wa kimapenz kwa nyota zinazowiana ktk hizo 12! So kunauwezekano wa kila kundi 1 kumech na makundi zaidi ya matatu kimapenz!
Pia kuna wengine wamegawa nyota kwa kutumia MAJINA, SAA ZA KUZALIWA, TAREHE MOJA KTK MZUNGUKO MZIMA WA MWAKA, MAENEO N.K
Labda tu uniambie uwo mtazamo wako ni mtazamo gani?
 
Watu fulani wanasema, ukitaka nikwambie wewe ni wa tabia gani, nionyeshe rafiki zako ni akina nani, ila mimi nina sema, ukitaka nikwambie wewe ni mtu wa namna gani, nionyeshe mwanaume anaye kuibia demu,mke,au mchumba wako, au hata kama hauibii basi mwanaume anaye mpenda kwa dhati mwanamke ambaye na wewe unampenda kwa dhati.

Mnamo mwaka 2005, niliingia katika mahusiano na mdada ambaye alikuwa na uhusiano na mwanaume mwingine, makubaliano yetu mimi na yule mdada yalikuwa, niweke ukuta kati yangu mimi na yule jamaa ili asije akanifahamu kwa namna yoyote ile. Kadri siku zilivyo kuwa zinazidi kwenda nikajikuta nagundua mimi na yule jamaa tuna vitu zaidi ya kimoja vinavyo fanana sana. Mifano..

1. Wote mimi na yeye ni mashabiki wa Yanga.

2. Uingereza, wote tunaipenda Arsenal.

3.Wote tunaupenda muziki wa Hiphop.

4. Wote tunamkubali Biggie kuliko Tupac.

5. Hapa Tz wote tunamkubali sana msanii mmoja wa Hiphop(jina kapuni ).

6. Wote tunapenda aina za muvi zinazo fanana...
7. Wote tunapenda rangi zinazo fanana,.
8. Wote tunaikubali CHADEMA.
9.Wote hatuipendi CCM.
10. Wote tunawachukia polisi etc

Mwisho wa siku nikaja, kuconclude that, mimi na yule jamaa, tutakuwa tunafanana kwa kiasi kikubwa sana, ndio maana basi hata katika suala la mahusiano, tumejikuta tukiwa tumefall in love kwa mwanamke mmoja....

MY TAKE:

1. Ukitaka kujijua wewe ni mtu wa aina gani, tazama tabia za mwanaume anaye kuibia demu, mke, mchumba wako ama hata kama hakuibii basi angalau anamtongoza/anampenda kwa dhati......

2. Kwa wasichana,, usimkatae mwanaume anaye onyesha kukupenda kwa dhati, eti kwa sababu upo katika mahusiano na mwanaume mwingine! U know why? kwa sababu wote mtakuwa mnaunganishwa na ufalme mmoja, " love kingdom". ufalme hauwezi kuuangusha ufalme wenzake...
Ndugu umeileta vizuri sana hii, hongera ila hapo kwenye red mmmh itabidi ufafanue kwa kina zaidi, kuokoa wake za watu humu
 
KWA HIYO MI NAWEZA KUJA kumsalandia demu wako kwa sababu tunafanana?
 
Watu fulani wanasema, ukitaka nikwambie wewe ni wa tabia gani, nionyeshe rafiki zako ni akina nani, ila mimi nina sema, ukitaka nikwambie wewe ni mtu wa namna gani, nionyeshe mwanaume anaye kuibia demu,mke,au mchumba wako, au hata kama hauibii basi mwanaume anaye mpenda kwa dhati mwanamke ambaye na wewe unampenda kwa dhati.

Mnamo mwaka 2005, niliingia katika mahusiano na mdada ambaye alikuwa na uhusiano na mwanaume mwingine, makubaliano yetu mimi na yule mdada yalikuwa, niweke ukuta kati yangu mimi na yule jamaa ili asije akanifahamu kwa namna yoyote ile. Kadri siku zilivyo kuwa zinazidi kwenda nikajikuta nagundua mimi na yule jamaa tuna vitu zaidi ya kimoja vinavyo fanana sana. Mifano..

1. Wote mimi na yeye ni mashabiki wa Yanga.

2. Uingereza, wote tunaipenda Arsenal.

3.Wote tunaupenda muziki wa Hiphop.

4. Wote tunamkubali Biggie kuliko Tupac.

5. Hapa Tz wote tunamkubali sana msanii mmoja wa Hiphop(jina kapuni ).

6. Wote tunapenda aina za muvi zinazo fanana...
7. Wote tunapenda rangi zinazo fanana,.
8. Wote tunaikubali CHADEMA.
9.Wote hatuipendi CCM.
10. Wote tunawachukia polisi etc

Mwisho wa siku nikaja, kuconclude that, mimi na yule jamaa, tutakuwa tunafanana kwa kiasi kikubwa sana, ndio maana basi hata katika suala la mahusiano, tumejikuta tukiwa tumefall in love kwa mwanamke mmoja....

MY TAKE:

1. Ukitaka kujijua wewe ni mtu wa aina gani, tazama tabia za mwanaume anaye kuibia demu, mke, mchumba wako ama hata kama hakuibii basi angalau anamtongoza/anampenda kwa dhati......

2. Kwa wasichana,, usimkatae mwanaume anaye onyesha kukupenda kwa dhati, eti kwa sababu upo katika mahusiano na mwanaume mwingine! U know why? kwa sababu wote mtakuwa mnaunganishwa na ufalme mmoja, " love kingdom". ufalme hauwezi kuuangusha ufalme wenzake...

hapo kwa blueee umetisha
 
hivi kama wa nje anafanana na wa ndani nifate nini huko? watu tunataka flavour za tofauti ati. lol.
 
Point 1 - 10 sio unique kivile unaweza kukuta 10 in every 100 men have these similarities...labda ungeangalia more on behavioural, appearance na personality.
 
Back
Top Bottom