Recent content by cardinal don

  1. C

    JamiiForums Tanzania Leicester City, Special Thread

    Mimi nilianza kuifuatilia Leicester season ya 96-97 walikuwa wana mturuki mmoja anaitwa muzzy izzett alikuwa balaa sana yaani kama unavyomuona paollo di canio mtata na mtupiaji Mzuri.long live the foxes
  2. C

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo katika majimbo ya Ludewa na Masasi

    Tunaomba dua zenu ndugu zenu huku Masasi hali ni tete kidogo kwani RAIA wapenda mabadiliko takribani elfu kumi wako nje ya Halmashauri wakiimba na kushinikiza matokeo yatolewe huku vifaru vitano na Lori tano za jeshi na cruiser kama kumi na washawasha moja za polisi ziko stand by. Tunajiuliza...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo katika majimbo ya Ludewa na Masasi

  4. C

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo katika majimbo ya Ludewa na Masasi

    Kosa letu Masasi ccm tumeleta mgombea mgeni,hatambuliki,kuzungumza hawezi tofauti na jamaa wameleta comedian maarufu kundambanda ila kinachotupa hope kidogo ni Jana aliposhuka mzee wa goli LA mkono almaarufu maradona au n.n.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo katika majimbo ya Ludewa na Masasi

    Hali Masasi haitabiriki ila watu wamejitokeza kwa wingi kupiga kura ila sintofahamu iliopo ni uoga kwa kila RAIA baada ya kuwa na vifaru na magari ya deraya takribani matano na cruiser za field kutoka Lindi na MTWARA sasa haieleweki kunani hapa masasi
  6. C

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo katika majimbo ya Ludewa na Masasi

    Mtwara mjini-cuf Tandahimba-cuf Liwale-cuf Mchinga-cuf Kilwa kusini-cuf Kilwa kaskazini-cuf Masasi-cuf Ndanda-chadema Nanyamba-mgombea cuf alihongwa akajitoa Newala-waliiba Mtama-waliiba Lindi-waliiba
  7. C

    JamiiForums Tanzania Christiano Ronaldo ni shoga?

    Wanamchafua si unajua kuna tuzo karibuni
  8. C

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ufisadi wa $600m hati fungani za Serikali, tusikubali ya Rada!

    Bashir awale!!!!!!!!really
  9. C

    JamiiForums Tanzania Eti mwanamke pia humwaga shahawa?

    Unajisifia ujinga.shame on you
  10. C

    JamiiForums Tanzania Home Shopping Centre ndio waliolipia Mabango ya Kampeni ya Magufuli Nchi nzima

    We kuna kitu waarabu walikufanya huwezi kuwachukia hivihivi,mbona makaburu wanachota miererani husemi,geita gold mine VP?unaongea na vichwa learned sio ulete chuki kwenye mambo ya nchi
  11. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuomba kibali cha kuuaga mwili wa Mawazo mahakamani

    Kwanini msiende kwenye mazishi geita mtatoa heshima za mwisho nyumbani kwa marehemu,intelligence imegundua wenje anatafuta kick ndo maana mnalazimisha owe furahisha
  12. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 DSM CCM wana madiwani wangapi na UKAWA wangapi?

    Manji meya wa temeke
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanawalaumu Jews kwa ugaidi unaoendelea kwa sasa.

    Kuna huyu jamaa mkaruka hivi anaweza jiita great thinker kweli.anakurupuka tu na kulaumu Quran,hivi admin mnamuangalia anaingilia iman za wengine.laiti jf kungekuwa na picha za members ningekuwa segerea maana this guys needs to be taught a lesson kuwa you can't start criticising the holly book...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tanga: Trafiki aliyeomba rushwa achukuliwa hatua

    AFANDE Tony ni jamaa mmoja mzuri sana alitusaidia sana pale kabuku tulipata ajali na basi LA meridian,mbona wengine wanakula malaki au mnatoa kafara Huyu mnyonge
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mwanamkakati wa timu ya kampeni na msaidizi wa Lowassa ni Mkenya

    Kina tibaijuka na kina chenge mbona ni watz halisi mbona huwataji?mwizi ni mwizi haijalishi ni Asili gani.maadam wewe unatumia makalio kufikikiri that's why you're just a damn imbecile
Back
Top Bottom