cardinal don
Senior Member
- Mar 30, 2015
- 120
- 61
Manji meya wa temeke
Jiji la Mbeya lina kata 36....Ninavyofahamu mimi Jiji la Dar, Madiwani wa Ukawa 53, CCM 38.
Jiji la Tanga, Madiwani wa Ukawa (CUF) wapo 16, CCM wana 11. Jiji la Arusha ndiyo funga kazi, Madiwani wa Ukawa(Chadema) wapo 24, CCM wameambulia diwani 1, Jiji la Mbeya Ukawa( Chadema) wana madiwani 18, CCM wana 6. Mji wa Moshi Ukawa (Chadema) wana madiwani 18 na CCM wameambulia 3, Mji wa Iringa Ukawa(Chadema) 14 na CCM wana madiwani 4.
Kwa hiyo ingawa CCM inatamba kuwa imeshinda, lakini kiuhalisia imeshinda 'maporini' na kwenye miji mikubwa na yenye uwezo mkubwa kiuchumi almost yote ipo chini ya Ukawa except Jiji la Mwanza ambalo ni home city kwao Magufuli.
WILAYA YA KINONDONI
Jimbo la UBUNGO - Chadema
Jumla ya kata 8.
Chadema kata 5
CUF kata 1
CCM kata 2
Jimbo la KIBAMBA-Chadema
Jumla ya kata 6.
Chadema kata 5
CCM kata 1
Jimbo la KAWE - Chadema
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 5
CCM kata 5
Jimbo la KINONDONI - CUF
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 3
CUF kata 3
CCM kata 4
WILAYA YA ILALA
Jimbo la SEGEREA - CCM
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 8
CUF kata 5
Jimbo la UKONGA - Chadema
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 7
CCM kata 6
Jimbo la ILALA - CCM
Jumla ya kata 10
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 6
WILAYA YA TEMEKE
Jimbo la KIGAMBONI - CCM
Jumla ya kata 9.
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 5
Jimbo la MBAGALA - CCM
Jumla ya kata 10.
Chadema 1
CUF kata 2
CCM kata 7
Jimbo la TEMEKE - CUF
Jumla ya kata 11.
Chadema kata 1
CUF kata 4
CCM kata 6
Kwa mchanganuo huo hapo juu Muungano wa ukawa una nafasi kubwa ya kuwa na Meya wa JIJI la Dar es salaam na manaibu meya, pia
Manispaa za Kinondoni na Ilala zote
Zitakuwa na mameya wa 2 na manaibu meya wote kutoka UKAWA isipokuwa Wilaya ya Temeke tu ambapo huko ccm wamezidi.
usimpongeze alishakosea..kwa kibamba CHADEMA KATA ZOTE 6....C.C.M 0√Asante sana mkuu
mkuu umeongopa kuhusu temeke , ninaweza kuthibitisha kwamba chadema imeshinda kata ya kurasini , kata ya keko na kata ya chang'ombe , kwingine sijui , kwahiyo kusema cdm ina kata moja tu jimbo la temeke si kweli .WILAYA YA KINONDONI
Jimbo la UBUNGO - Chadema
Jumla ya kata 8.
Chadema kata 5
CUF kata 1
CCM kata 2
Jimbo la KIBAMBA-Chadema
Jumla ya kata 6.
Chadema kata 5
CCM kata 1
Jimbo la KAWE - Chadema
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 5
CCM kata 5
Jimbo la KINONDONI - CUF
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 3
CUF kata 3
CCM kata 4
WILAYA YA ILALA
Jimbo la SEGEREA - CCM
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 8
CUF kata 5
Jimbo la UKONGA - Chadema
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 7
CCM kata 6
Jimbo la ILALA - CCM
Jumla ya kata 10
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 6
WILAYA YA TEMEKE
Jimbo la KIGAMBONI - CCM
Jumla ya kata 9.
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 5
Jimbo la MBAGALA - CCM
Jumla ya kata 10.
Chadema 1
CUF kata 2
CCM kata 7
Jimbo la TEMEKE - CUF
Jumla ya kata 11.
Chadema kata 1
CUF kata 4
CCM kata 6
Kwa mchanganuo huo hapo juu Muungano wa ukawa una nafasi kubwa ya kuwa na Meya wa JIJI la Dar es salaam na manaibu meya, pia
Manispaa za Kinondoni na Ilala zote
Zitakuwa na mameya wa 2 na manaibu meya wote kutoka UKAWA isipokuwa Wilaya ya Temeke tu ambapo huko ccm mwamezidi.
hata temeke kaboronga , nadhani hii atakuwa kachukua kwenye gazeti la mwana .halisi ambalo lina hesabu kama hii iliyokosewa .usimpongeze alishakosea..kwa kibamba CHADEMA KATA ZOTE 6....C.C.M 0√
WILAYA YA ILALA
Jimbo la ILALA - CCM
Jumla ya kata 10
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 6
Jiji lipo UKAWA but DOLA na NCHI ni MALI ya CCM!!!!
Duh...... Hiyo inapendeza sana.WILAYA YA KINONDONI
Jimbo la UBUNGO - Chadema
Jumla ya kata 8.
Chadema kata 5
CUF kata 1
CCM kata 2
Jimbo la KIBAMBA-Chadema
Jumla ya kata 6.
Chadema kata 5
CCM kata 1
Jimbo la KAWE - Chadema
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 5
CCM kata 5
Jimbo la KINONDONI - CUF
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 3
CUF kata 3
CCM kata 4
WILAYA YA ILALA
Jimbo la SEGEREA - CCM
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 8
CUF kata 5
Jimbo la UKONGA - Chadema
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 7
CCM kata 6
Jimbo la ILALA - CCM
Jumla ya kata 10
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 6
WILAYA YA TEMEKE
Jimbo la KIGAMBONI - CCM
Jumla ya kata 9.
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 5
Jimbo la MBAGALA - CCM
Jumla ya kata 10.
Chadema 1
CUF kata 2
CCM kata 7
Jimbo la TEMEKE - CUF
Jumla ya kata 11.
Chadema kata 1
CUF kata 4
CCM kata 6
Kwa mchanganuo huo hapo juu Muungano wa ukawa una nafasi kubwa ya kuwa na Meya wa JIJI la Dar es salaam na manaibu meya, pia
Manispaa za Kinondoni na Ilala zote
Zitakuwa na mameya wa 2 na manaibu meya wote kutoka UKAWA isipokuwa Wilaya ya Temeke tu ambapo huko ccm wamezidi.
Nashukuru kwa taarifa Mkuu.Jiji la Mbeya lina kata 36....
Chadema wana kata 26,Ccm wana kata 9 kata moja haikufanya uchaguzi
Haijalishi, Raisi wa Mkoa wa Dar ni Mkuu wa Mkoa wa Dar ambaye huteuliwa na Raisi wa JMTZ moja kwa moja, Raisi wa Wilaya za Dar ni Mkuu wa Wilaya ambaye huteuliwa na Raisi wa JMTZ moja kwa moja hawo madiwani hawana meno9 yoyote yale!
Mavi nchi ni ya nani. ..?....
Manji meya wa temeke
WILAYA YA KINONDONI
Jimbo la UBUNGO - Chadema
Jumla ya kata 8.
Chadema kata 5
CUF kata 1
CCM kata 2
Jimbo la KIBAMBA-Chadema
Jumla ya kata 6.
Chadema kata 5
CCM kata 1
Jimbo la KAWE - Chadema
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 5
CCM kata 5
Jimbo la KINONDONI - CUF
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 3
CUF kata 3
CCM kata 4
WILAYA YA ILALA
Jimbo la SEGEREA - CCM
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 8
CUF kata 5
Jimbo la UKONGA - Chadema
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 7
CCM kata 6
Jimbo la ILALA - CCM
Jumla ya kata 10
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 6
WILAYA YA TEMEKE
Jimbo la KIGAMBONI - CCM
Jumla ya kata 9.
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 5
Jimbo la MBAGALA - CCM
Jumla ya kata 10.
Chadema 1
CUF kata 2
CCM kata 7
Jimbo la TEMEKE - CUF
Jumla ya kata 11.
Chadema kata 1
CUF kata 4
CCM kata 6
Kwa mchanganuo huo hapo juu Muungano wa ukawa una nafasi kubwa ya kuwa na Meya wa JIJI la Dar es salaam na manaibu meya, pia
Manispaa za Kinondoni na Ilala zote
Zitakuwa na mameya wa 2 na manaibu meya wote kutoka UKAWA isipokuwa Wilaya ya Temeke tu ambapo huko ccm wamezidi.
Dar karibia halmashaur zote zitaendeshwa na ukawa
Mikoani huko wamejifanya wameichagua ccm tuwaache waendelee kula vumbi huku rushwa ikizid kuongezeka
kisheria kuna ccm cuf chadema na vyama vingine hakuna ukawa hivyo ukichukulia chama kimoja kimoja ccm ina madiwani wengininavyofahamu mimi jiji la dar, madiwani wa ukawa 53, ccm 38.
Jiji la tanga, madiwani wa ukawa (cuf) wapo 16, ccm wana 11. Jiji la arusha ndiyo funga kazi, madiwani wa ukawa(chadema) wapo 24, ccm wameambulia diwani 1, jiji la mbeya ukawa( chadema) wana madiwani 18, ccm wana 6. Mji wa moshi ukawa (chadema) wana madiwani 18 na ccm wameambulia 3, mji wa iringa ukawa(chadema) 14 na ccm wana madiwani 4.
Kwa hiyo ingawa ccm inatamba kuwa imeshinda, lakini kiuhalisia imeshinda 'maporini' na kwenye miji mikubwa na yenye uwezo mkubwa kiuchumi almost yote ipo chini ya ukawa except jiji la mwanza ambalo ni home city kwao magufuli.