Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
- Thread starter
- #41
Wengi wanamuuliza kama ke au me. Illuminata lazima awe ke kwenye romantic languages. Spanish, French na Italian.
First name ya mwanaume haiwezi kuishia na "a"
Thanks,kwa kunisaidia kuwapa jibu.