Recent content by CARBON 14

  1. C

    Mbunge Kahama: Wanafunzi waruhusiwe bila Viatu na Sare(Uniform)

    Kumbe na wewe umemsikia wangeruhusu kupiga simu ningemwaibisha huyo mzee uelewa wake ni mdogo sasa wasipovaa uniform tutwatambua vipi ni wanafunzi pia jukumu la mzazi litakuwa ni lipi ? itakuwaje watoto wa matajiri wakija na suti ? sijajua uwezo na elimu ya kishimba mpka ashauri uniform...
  2. C

    Natafuta dereva mzoefu kusafiri kutoka Dar kwenda Tabora kati ya kesho kutwa na J5

    Gari gani hiyo mkuu na inakwenda tabora sehemu gani?
  3. C

    Wanaume msipende kufanya hili mtalia sana mkakosa wa kuwafuta machozi

    si useme tu ni wewe mbona unatoa taarifa sahihi kama wewe ndiyo victim wa kusomesha mchumba mimi nawambia mnafungwa rudisheni vyeti vyake akienda polisi mtakoma,wakati mnamsomesha kuna mahali mliandikishana akimaliza mumuowe ?
  4. C

    Wanaume msipende kufanya hili mtalia sana mkakosa wa kuwafuta machozi

    Hapo mnataka mwenzenu afungwe hapakuwa na mkataba wa kumsomesha ili amuoe na pia huyo mdada akienda polisi huyo jamaa pamoja na kuwa alimsomesha huyo binti atafungwa na wanawake huwa hawarudi nyuma wakiingiwa na roho ya shetani hawashindwi hata kumuua, yeye akubali matokeo kuwa ni ujinga wake...
  5. C

    Naomba kutoa ushuhuda wa uchaguzi wa mwaka 2005 uliomweka Rais Kikwete madarakani

    Yaani nilidhani unaandika kitu cha maana kumbe upuuzi mtupu yaani fadhila za kuku na bia igharimu maisha ya watanzania huna akili kabisa kama ni malipo ya hizo bia iikuwa nikumpa urais Lowasa hata kama hafai basi hapo wewe ni jinga kuliko ujinga wenyewe yule alimfadhili JK na hakuwafadhili...
  6. C

    OCD au OCS anapokataa kumtolea mtu mdhamana

    cHAKUFANYA KESHAAMBIWA HUMU NDANI AENDE KWA DC AMUELEZE HILO TATIZO IKISHINDIKANA AENDE KWA RC WAKE
  7. C

    OCD au OCS anapokataa kumtolea mtu mdhamana

    Tatizo ni kabila wasukuma ni waoga sana kufuatilia haki zao pale zinapominywa na wenye mamlaka kwa hili wamemtilia ngumu kwa kujua udhaifu wa mtuhumiwa ukimwambia nenda kwa mkuu wa wilaya anaogopa kujieleza na polisi wengi wakipangwa kanda ya ziwa baadhi yao huaamini wametajirika kwa sababu...
  8. C

    Mapya yameibuka kuhusiana na tukio la kuuawa majangili Dar es salaam

    Kwa Rashid amevuna alichopanda ila ngosha kaonewa kwa kuwa alikuwa na fedha na ndiyo zilizofanya auawe ili wazichukue, imekuwa kama ile picha ya zombe kule mabwe pande, kwa nini wasingelipana kupitia benki maskini ngosha kasalitiwa na rafiki yake mnafiki na wote wamekufa. Mimi kamwe sitafanya...
  9. C

    Nauza vifaranga na kuku wa kienyeji

    Mkuu kama kifaranga kinauzwa 25,000/=(elfu ishirini na tano) je kuku mwenyewe atauzwa laki ngapi???
  10. C

    Mbowe awakumbusha viongozi waliovimbiwa madaraka nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa katiba.

    Ndugu yangu sina sababu ya kubishana na wewe amini unachoamini na mimi nibaki na ninachoamini nakutakia boxing day njema na Lowasa wako fisadi. Kwani hata mlevi wa ngongo ukimwambia gongo inauwa atakuambia wote wanaokufa wanakunywa gongo? kwa hiyo sikuwezi
  11. C

    Mbowe awakumbusha viongozi waliovimbiwa madaraka nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa katiba.

    Mkuu utanipiga kichomi bure nimesema kila jambo linawakti wake na ratiba yake kulikuwa na muda wa kura za maoni na ukaja muda wa kampeni kisha ukaja muda wa uchaguzi ukapita sasa tena tuanze kusikia milio na mispika ikiita watu kwenye mikutano tumechoka tufanye kazi za maendeleo wale wabunge...
  12. C

    Mbowe awakumbusha viongozi waliovimbiwa madaraka nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa katiba.

    Mkuu naomba nikukumbushe kwamba hapo ulipo umeshaona gari zimeandikwa DFP na kuna charitable organization nyingi sana zinazotoa misaada kwa watanzania bila kutaka hata ujumbe wa nyumbakumi wala kuzunguka nchi nzima, mfano yule tajiri wa microsoft ya bill gate ametoa misaada mingi sana na...
  13. C

    Mbowe awakumbusha viongozi waliovimbiwa madaraka nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa katiba.

    Ukimdharau Majaliwa basi baba yako utakuwa umemtigo
  14. C

    Mbowe awakumbusha viongozi waliovimbiwa madaraka nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa katiba.

    Ushauri wa Mbowe ni mwendawazimu pekee anayeweza kuukubali kwa sababu ukisema siasa haina msimu maana yake utakuwa ni mwendawazimu kwa sababu kila kitu kinapangwa kwa ratiba na muda wake sasa kama tunafanya mambo bila ratiba ni wazi tutakuwa wote vichaa na kwa mwenye akili timamu atagundua mbowe...
  15. C

    Yule mke wa kachero wa TANAPA...

    Ndugu yangu hata kama una matope kichwani na kusoma hujui hata picha huwezi kuangalia? hivi mpaka mtu anauawa wakati anakunywa uji utasema mke hahusiki? jiulize uji aliutayarisha nani? halafu wakati anakunywa uji mke alikuwa wapi? halafu pale ni sebuleni kama alikuwa ametoka aliporudi alikuta...
Back
Top Bottom