Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,999
- 104,319
MBOWE AWATAKA WATAWALA KUHESHIMU MISINGI YA DEMOKRASIA
Akiandika katika ukurasa wake wa facebook, Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe amesema "walioko madarakani wanapaswa kutambua kuwa siasa haina msimu wala haianzi na kuishia wakati wa uchaguzi. Aidha, nawakumbusha kuheshimu misingi ya demokrasia ikiwemo, ushindani wa hoja, sera, mikakati na mipango na pia kutambua uwepo na uendeshaji wa mfumo wa vyama vingi si suala la utashi wa walioko madarakani bali ni haki ya msingi kikatiba na matakwa ya wananchi wanaotoa dhamana ya watu kukaa madarakani kuongoza kwa niaba ya wengine."