Natafuta dereva mzoefu kusafiri kutoka Dar kwenda Tabora kati ya kesho kutwa na J5

mgoshawampasa

Senior Member
Jul 30, 2014
105
27
Natafuta mtu yeyote ambaye ni dereva mzur ambaye anasafiri kwenda Tabora kati ya kesho kutwa na J5. Nina gari lakini sio dereva mzur hivyo natafuta dereva anayesafiri kwenda Tabora. Mimi nagharimia mafuta na ofcoz gar ni yangu yeye atasave nauli lakin pia atakuwa dereva wetu.
Kama upo npm
 
Natafuta mtu yeyote ambaye ni dereva mzur ambaye anasafiri kwenda Tabora kati ya kesho kutwa na J5. Nina gari lakini sio dereva mzur hivyo natafuta dereva anayesafiri kwenda Tabora. Mimi nagharimia mafuta na ofcoz gar ni yangu yeye atasave nauli lakin pia atakuwa dereva wetu.
Kama upo npm

Gari gani hiyo mkuu na inakwenda tabora sehemu gani?
 
Mkuu mm ni dreva mzuri but nipo Ndola now nimefika jana nilileta IT,J5 ndio ntakua mjini(Dar)
 
Nimeshapata tayari,
Kwa wenye midomo ndiyo natafuta dereva maana mimi sio mzoefu wa safari ndefu. May be kama hujui Dar-Tabora ni zaidi ya 1000 km.
 
Hongera kwa kumpata
Ila lazima ujifunze gari,issue ya masafa sio tatizo kabisaa.
Wewe na mkeo tu mnatosha.
Navuta hisia ya age yako kwamba umejua gari ukubwani,na mara nyingi gari ukijua ukubwani aisee uoga ndio unakuwa rafiki yako.

Kuanzia leo ukirudi,mfundishe mkeo gari,ili route kama hizi unapiga wewe ukichoka nachukua wife anapiga mashine.

Mie nilienda Musoma kwa style hiyo tena kwa NOAH tu ya family,niliipiga muda mrefu kisha kwenye gape namuachia wife anavuta mashine.Mnafika saaaffii wala hamjachoka.

Sasa ukiwa njiani muulize dereva akueleze vitu muhim katika safari hizo.
Kuna mama mmoja yule aliekuwa wa Njake Lodge,alikuwa nakuja Zanzibar,basi anaendesha peke yake kutoka Arusha kuna Dar,then anapanda boat anakuja kwa kazi zake akimaliza,anaenda Dar anachukua gari yake anarudi zake Arusha.Sasa Dem akushinde?

Usione naandika hizi ukaona naamua kuuwa,ila hapana,yaani aibu sana kujua gari na kushindwa kuendesha kwenda safari za mikoani,ni aibu sana aisee.Mie hata kama mkoa siujui na sijawahi kufika basi nikitaka nafika.
Wanakuja wazungu hapa,na kukodi gari kwa kutumia ramani za kitabu tu,na kuenda mkoa anaoukusudia,tena ikiwa ndio first time kuja Tanzania,itakuwa hapo Tabora?
Jifunze,acha uoga,kuwa Mwanaume,maana hata Mkeo lazima aonea aibu kuwa na jamaa ambae ku drive hapo Tabora hadi akodi mtu,.duhhh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom