ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,956
- 7,004
Hivi nini kifanyike ili mtu apate mdhamana kama hawa watu hawataki kuruhusu mtuhumiwa awekewe mdhamana kwa civil criminal
civil criminal ndo nini mkuu?
Hivi nini kifanyike ili mtu apate mdhamana kama hawa watu hawataki kuruhusu mtuhumiwa awekewe mdhamana kwa civil criminal
hujasomeka mkuu,hata jinai wanatoa dhamana
kwahiyo hata mwezi mzima yumo lockup
Wengi Mmejadi Out Of The Content, MTUHUMIWA KANYIMWA DHAMANA KWA KUWA SHITAKA LAKE LIPO MKOA MWINGINE NA MSHITAKIWA KAKAMATIWA MKOA MWINGINE, HVY OCD KAGOMA KUTOA DHAMANA KWA KUWA FAILI LA KESI YAKE LIPO MKOA MWINGINE, Sasa Hapo Ndo Mnatakiwa Mjadili Nikweli Mshitakiwa Akikamatiwa Mkoa Mwingine Na Shitaka Lake Likiwa Mkoa Mwingine Hawezi Kupata Dhamana? Na Kwanini Amekaa Sk Zote Hz Bila Kupelekwa Sehemu Aliyoshitakiwa?

mkuu naomba nikupe taarifa kuwa,mtuhumiwa akikamatiwa sehemu yeyote anafunguliwa fail hapo hapo ila kama kuna ulazima wa kusomewa kesi sehemu tofaut na hapo si shida anayo haki ya kukataa au kukubali,kinachoonekana kwa huyu jamaa kampuni limetumia mbinu chafu kumuatack huyu jamaa kama kumkomoa ili kumpressurize.in fact on this situation there must be a kind of misuse of power.USHAURI atafute mwanasheria ikibidi waende mahakamani kupata ufafanuzi wa kisheria
tatizo siyo kabila,kuna ukiukwaji tu wa kanuni na sheria za nchi,mtu huwez kung'ang'ania akae lock up wakati hata jinai wanatoa mdhamana
Tatizo ni kabila wasukuma ni waoga sana kufuatilia haki zao pale zinapominywa na wenye mamlaka kwa hili wamemtilia ngumu kwa kujua udhaifu wa mtuhumiwa ukimwambia nenda kwa mkuu wa wilaya anaogopa kujieleza na polisi wengi wakipangwa kanda ya ziwa baadhi yao huaamini wametajirika kwa sababu msukuma hata kama anapingu anasema nduhu shida
nini kifanyike mkuu sio kucritisize tu
Tambua maana ya Geographical jurisdiction ndo ntaweza jua kwanini huyo OCD hajatoa dhamana. kifupi ni kwamba ukitenda kosa Tabora ukakamatiwa Mtwara lzma utarudishwa Tabora kujibu shtaka linalokukabili.