Recent content by capuchino

  1. C

    JamiiForums Tanzania Inatia Huruma kwa Marehemu na Muuaji Pia

    Hakimu mkenjwa haki zenu hizo mmwagie chache kama 30 tu ...akukusudia jamani.... R.i.p. Marehemu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Saga atcl-nyanganyi akabidhi ripot kwa waziri!!!

    :sisemi-------------aibu....na ndilo lililomfanya mh raisi kumradhi mh waziri wa miundo mbinu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Saga atcl-nyanganyi akabidhi ripot kwa waziri!!!

    pundamilia 07 Mungu akubariki kwa post zako na wote wenye mapenzi mema na kampuni hii. Kwa kweli inasikirisha.. Embu angalia Wiki mbili zilizopita, jamani haya si majungu kuna marubani 31 na wafanyakazi wandani ya ndege 32 walikuwa hawajalipwa mishahara yao...lakini bodi ilikaa jumatano...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Serikali na Hatima ya ATCL

    Invincible JF Senior & Premium Member Join Date: Sat May 2006 Location: Songeaonline Posts: 768 Rep Power: 24 Thanks: 60 Thanked 319 Times in 195 Posts Credits: 41,995 Re: ATCL yaondolewa IATA...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Saga atcl-nyanganyi akabidhi ripot kwa waziri!!!

    Mod naomba tuiache kwa muda tupate maoni ya watu na pengine waio karibu na huko atcl...kujua ukweli halisi....
  6. C

    JamiiForums Tanzania Saga atcl-nyanganyi akabidhi ripot kwa waziri!!!

    ATCL wawakilisha sababu za kuharibikiwa Mwandishi Wetu Daily News; Friday,December 19, 2008 @21:15 Habari nyingine ATCL wawakilisha sababu za kuharibikiwa Mpigapicha wa Channel Ten aagwa TSN watoa msaada wa kompyuta ‘Zimbabwe isaidiwe kukabili kipindupindu’ Mgonja kula sikukuu...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hamad Masauni Yussuf..... Unamjua?

    kwa raha zake wakina lowassa na rostam watupu wamepandikizwa ...si nyalisa mm malisa wala nsauni haya tusikie watakavyokula kwenye maataba wa pale .... byee
  8. C

    JamiiForums Tanzania albino akikuibia SIMU kariakoo utamkimbiza??madhara yake unajua???

    mi ntalia tu najua nikimkimbiza siipati
  9. C

    JamiiForums Tanzania Serikali na Hatima ya ATCL

    halafu bado Mustapha Myang'anyi anasema atajiuzulu pale tu ITAKAPODHIBITIKA kuwa bodi yake imehusika katika kufanya shirika hilo kufungiwa! Uthibitisho upitena? labda anasubiri kutupiwa mawe na watanzania ndipo ajue wamechoka nje ya hapo hatoki....majuzi nilikuwa naongea na dir mmoja na...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Serikali na Hatima ya ATCL

    mwanakijiji kweli unasoma nyakati!!!!sasa unafikiri tuwasaidieje hawa ndugu zetu nafikiri kuna kipindi jf ilijaa ATCL news na hakuna mabadiliko...
  11. C

    JamiiForums Tanzania ATCL: Another Richmond!

    mbona halifunguki mkuu??
  12. C

    JamiiForums Tanzania ATCL: Another Richmond!

    Mheshimiwa mweneyekiti una taarifa hata kampuni yako ikirudishiwa hiko kibali hutoweza kurusha ndege zako zile ndgo kama dash 8 na sababu uanajua itakuwa nini//..ama utaishia tena kuwaambia watu uzembe...kampuni yako imekuwa ikifanya maintenance za ndege illega kwa kutokuwa na kibali cha...
  13. C

    JamiiForums Tanzania ATCL: Another Richmond!

    !!! wana ndege ngapi za kwao wenyewe??? ZIPO AIR MATTAKA *AIR NYANG'ANYI
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa ATC & TRL - Ushauri wa Bure kwa Serikali Kutoka JF Forums

    Kukodisha ndege ya kumpeleka pale kwa mzee zanaki jioni wanaenda kulala nairobi yeye na yule mshe*** mwenzake temu alieiibia bima....ben alipojua wakamngoa sasa uswahiba wa kikwete kukaa nae pale **kwa macheni bar** ameona awaletee atcl..any way wanajua wenyewe wafanyakazi nini cha kufanya...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa ATC & TRL - Ushauri wa Bure kwa Serikali Kutoka JF Forums

    Mkuu ALLIEN Uswahiba na kuedekezana ndi kumelifikisha hili shirika hapa lilipo... unajua D.MATTAKA NI SWAHIBA MKUBWA WA jk.so muda wote likitokea jambo anaona aibu kumuabarisha live sasa wakati mwingine unajiuliza jamaa akichota huku na mzee anaminyiwa kidizaini au!!!aiwezekani rais mwadilifu...
Back
Top Bottom