Recent content by Captain Phillip

  1. Captain Phillip

    Askofu Ruaichi: Waumini Waombeeni Viongozi Watambue Kuna Njaa

    Nachelea kuamini ule utafiti wa katika wanne kuna mmoja
  2. Captain Phillip

    Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

    Ukiona mtu in his late 50s na kaishi abroad for 30 years huku anajisifia kuwa anajenga nyumba ya kuishi yeye mwenyewe then tambua hapo kuna shida kubwa.Unapaswa kumhurumia kwani ile methali ya asiyefunzwa na mamaye huwa inaanza kutekelezeka kwa ulimwengu kuchukua nafasi yake.He is a frustrated...
  3. Captain Phillip

    Table manners

    Cha kukumbuka pia unapomaliza kula hakikisha kiti unakirudisha mahala pake yaani pale ulipokitoa ukitaka kukaa
  4. Captain Phillip

    Mwana JamiiForums, umewahi kukumbwa na aibu gani? Mimi ni hii

    Kuna jamaa yangu hapa nimemsimulia kuhusu hii thread akanipa yake pia; Alikuwa anatoka job kwenye gari akiwa amefunga vioo kawasha AC mara kufika kwenye foleni si mbali na ofisini akaachia bonge la ushuzi hapo hapo anamwona demu aliyekuwa anamfuatilia kitambo dirishani akimwomba lift...anasema...
  5. Captain Phillip

    Kumbe nacheza uwanja mmoja na baba

    Hivi shule zimefungwa?Naona wanafunzi wameshaanza kuja na hekaya zao
  6. Captain Phillip

    Ndio maana napenda kuangalia tennis, wachezaji wanavaa kofia nyeupe lakini hazichafuki

    Hata mimi siioni kofia aisee naona Twin Towers tu
  7. Captain Phillip

    Huyu HR Manager ni Kiboko cha ACACIA Gold Mine, kawazidi ujanja!

    Kwa majibu yako haya hekima yako imejidhihirisha kuwa wewe ni mtu wa namna gani.Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukutilia maanani as now uwezo wa kufikiri umejipambanua kabisaaa....sasa kama wewe ni business man aliye na uwezo wa kawaida kabisa na kudai kwako uko Canada...huoni kuna haja...
  8. Captain Phillip

    Huyu HR Manager ni Kiboko cha ACACIA Gold Mine, kawazidi ujanja!

    Hata namna unavyojibu unaonyesha chuki ya ajabu na kuwa kinachokusumbua ni majungu na chuki binafsi.Unataka kujua Magunila aliko?Alitoka hapo akaenda Dangote ambako ana maslahi makubwa kuliko hapo Buly...Huyo si mwenzako kama ni mtu unafikiria kumtolea mfano.Wewe fanya kazi kama huna vigezo...
  9. Captain Phillip

    Huyu HR Manager ni Kiboko cha ACACIA Gold Mine, kawazidi ujanja!

    Post imekaa kimajungu majungu sana na inaonekana mwandishi wa huu u.pupu ni huyo HRO anayesema alifukuzwa ili jamaa apige dili zake kwa nafasi.Nimefanya kazi mgodini tena hapo hapo Buly for 4 years nayajua sana aina hii ya majungu.Ukiwa strict na watu wazembe ni rahisi sana hao watu kukuzulia na...
  10. Captain Phillip

    Huyu HR Manager ni Kiboko cha ACACIA Gold Mine, kawazidi ujanja!

    Hii habari ni pure majungu.Hili ni jipu la fikra Magufuli anatakiwa kulitumia. WATZ tufanyeni kazi majungu ya Kip.uuzime.kama haya hayatatufikisha kwenye uchumi wa kati.
  11. Captain Phillip

    Kwanini Watanzania wamuachie Mungu?

    Hata hii public holiday ya kesho namwachia tu Mungu
  12. Captain Phillip

    Baby simu yangu imeharibika

    Wengine ukimtokea tu mkakubaliana anauguliwa na mzazi wake
  13. Captain Phillip

    Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

    Duh sasa si umpe tu ..hayo ndo malipo ya consultancy aliyokufanyia halafu hata hivyo haisomi milage so haitakuwa na madhara
  14. Captain Phillip

    Advanced Excel Training - Register now

    Umelipia Tangazo mkuu??
Back
Top Bottom