Baby simu yangu imeharibika

Baby simu yangu imeharibika

Hapo umeombwa simu tu

Mi mwenyewe am wandaz...wanaume wanaojitambua hawalalamiki vitu vidogo kama hivi. Kama huna uwezo wa kumpa mwambie sina. Kama unao uwezo why usimpe? Tuhudumieni...hilo ndo jukumu lenu. Na kama huwezi kugaramia usijisumbue kutongoza. Kama nakupa papuchi muda wowote unaotaka why ukiombwa hela unalalamika? Acheni hizo banaa...ni jukumu lenu hata mkikataa. Ndo hivyo yaani haiwezi kubadilika.

Nasikilizia matusi sasa....kutoka kwa wavulana!
 
Siyo wote huomba siku ya kwanza. Kama najiamini kwa nini nikuombe siku ya kwanza. Siku ya kwanza naweza pima kina tu alafu basi. Siku nyingine ndiyo naweza kuja pima oil. Alafu siyo wote wenyewe tabia za kuomba siku ya kwanza. Ni vile wewe utakavyojichanganya.

Hamna chochote wanaume wenyewe wa siku hz macho yenu yenyewe yako utosini yani mko juu juu.. Acha nikupige mzinga mwanzo tu ili kila mtu afe na chake nikiona mbahili huyoo nasepa mbona wanaotoa wapo tu..
 
Wastarabu wachache bado wapo. Kheri ni ipi sasa. Uniombe laki5 siku moja alafu iwe basi. Au kila wiki uniombe laki1 kwa miaka hata kumi?
 
Bora nichukue changu mapema coz najua hizo nyingine lazima ztakuja na excuses.. Chezea wanaume wa kibongo walivyo wasanii
 
Acha kusema chako mapema,kwani ulikiweka. Mwenye kutoa sababu ya kuhusu pesa mbele ya mwanamke huyo hana kitu. Aalfu kuwa mpole utakula vingi vizuri, ukiwa na papara utaumia au utapata vibovu.
 
Sijakiweka but ww unavyotaka kula papuch yangu uliiweka ? Nimetunzwa mpk nimekuwa mrembo ukanitamani na kunitongoza then u want to sweat on top of me for free u can't b seriously..
 
Hebu acha kulialia ben nyoni kwani wakati unamgegeda ulitaka nn? Kula uliwe ndio mtindo wa kisasa kama hutaki kaa pembeni waachie wenye meno watafune
 
Mi mwenyewe am wandaz...wanaume wanaojitambua hawalalamiki vitu vidogo kama hivi. Kama huna uwezo wa kumpa mwambie sina. Kama unao uwezo why usimpe? Tuhudumieni...hilo ndo jukumu lenu. Na kama huwezi kugaramia usijisumbue kutongoza. Kama nakupa papuchi muda wowote unaotaka why ukiombwa hela unalalamika? Acheni hizo banaa...ni jukumu lenu hata mkikataa. Ndo hivyo yaani haiwezi kubadilika.

Nasikilizia matusi sasa....kutoka kwa wavulana!

Utadhani wanashikiwaga bunduki, jamani eeeeh asotaka kuombwa hela anunue sabuni ajipe mabao ya mkono pumbavvvvv
 
unapiga kwenye hyo simu daily hutaki iharibike ulinunua wewe? unajua aloinunua nani mnaambiwaga ili msipige kwenye simu walonunua wanaume wenzenu ulikua hujui
 
Sijakiweka but ww unavyotaka kula papuch yangu uliiweka ? Nimetunzwa mpk nimekuwa mrembo ukanitamani na kunitongoza then u want to sweat on top of me for free u can't b seriously..

Kama hujaiweka basi usiseme "chako mapema". Sasa je hiyo papuchi ipo kwa ajili ya kuliwa, na kuitunza kote huko ili uliwe vizuri. Inawezekana mimi ndiyo nikakutunza vizuri zaidi kuliko hata ulivyotunzwa awali. Mmh!! kwani unatoa bure au kuna cha bure siku hizi?
 
Ajabu loh!!!!!!!!!!! kwanza mimi wananishangaza hata wanaume wanaopenda kupiga sim, kutuma msg kwa wanawake wakati hawajui sim mwanamke alinunuliwa na nani????

unataka ujibiwe msg wakati hujui bint vocha kawekewa na nani

Unataka kumpigia sim nunua yako mpe.
Kwan we ni yatima?!
 
Back
Top Bottom