Recent content by CAPTAIN MORGANI

  1. C

    Nape atangaza 5 bora ccm

    Tano bora CCM ni Bernard Membe, John Magufuli, January Makamba, Asha Migiro na Amina Ali. Tusubiri tatu bora Source:TBC
  2. C

    Sista Mtawa ajifungua mtoto wa kiume akiwa utawani

    Atakuwa amepata mimba mithili ya bikira maria. Dunia inaweza pata YESU wa pili
  3. C

    Sista Mtawa ajifungua mtoto wa kiume akiwa utawani

    Atakuwa amepata mimba mithili ya bikira maria. Dunia inaweza pata YESU wa pili
  4. C

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

    Nafasi ya tumbili katika msitu wa nyika yadhihirika
  5. C

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu. Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema...
  6. C

    Ndoa ya serikali inamasharti yoyote unapotaka kufunga?

    Ndoa ya serikali kama zilivyo ndoa nyingine zinazofungwa hapoa Tanzania kama vile za madhehebu ya kidini, zinazofungwa kimila zote zinzsimzmiwa na sheria ya ndoa ya mwaka 1971. Baadhi ya masharti muhimu ni pamoja na 1.Ndoa ni lazima itangazwe kwa siku 21 2. Siku ya kufunga ni lazima wanandoa...
  7. C

    Uwezekano wa kuhama Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

    Inawezekana. Wasiliana na afisa utumishi wako na/au viongozi wako wa chama chako cha wafanyakazi wakusaidie kwani ni haki yako kuchagua mfuko uupendao
  8. C

    Msaada juu ya sheria na taratibu za utumishi wa umma

    1. Utafanikiwa kupewa tsd namba baada ya kuwasilisha cheti (certificate) sio transcript 2.ni kwele huwezi kufanyiwa marekebisho ya mshahara hadi uwasilishe cheti (certificate) sio transcript 3.Sio kweli, ajira yako itatambulika tangu ulipoajiriwa mwanzo na ukaingizwa ktk payroll ya mshahara...
  9. C

    Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply

    Kibali cha katibu mkuu kiongozi huhitajika kwa mtumishi aliyestaafu ama kwa hiari au kwa lazima au kwa ugojwa au aliyestaafishwa kwa manufaa ya umma, na pia kwa mtumishi aliyefukuzwa kazi a mbaye anaomba kurudi tena katika utumishi wa umma. Hii ni kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma ya...
  10. C

    Mabadiliko makubwa yafanyika kwenye cheka za Vodacom

    Walichofanya wamepunguza MB za internet na kuongeza dakika za maongezi, ila pia wameongeza gharama. tsh 999 dk 21 sms 1000 mb 100. Kazi ni kwako!
  11. C

    Jaribu bahati yako ajira mpya

    waungwana tupiamo basi page ya hilo gazeti la gadian tupate detail za kuaply
  12. C

    Geita: Walimu 97 watumia choo kimoja; wanafunzi 3,563 watumia matundu 14

    Geita ni moja ya Mikoa yenye raslimali muhimu za Taifa
  13. C

    Jiunge na mfuko wa afya ya jamii!

    Anayetaka kujiunga aende kwye kituo cha afya/zahanati kilicho karibu naye atalipa na kupewa risiti na kitambulisho
Back
Top Bottom