Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply

Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,863
Naomba kujua sababu ipi inamzuia mtu kurudi serikali maana kuna wengine wanaacha kazi wanaenda masomoni au sekta binafsi kuongeza ujuzi halafu mbona tangazo la kiswahili linasema hivi " viii. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi. mbona haya matanganzo siyaelewi.
 
Note kuna tofauti ya waliostaafu na waliostaafishwa.

Kustaafishwa kunawezekana kutokea kama kulikuwa na matatizo yaliyosababishwa na aliyestaafishwa, hapo ndipo unapata habari kama za "kustaafishwa kwa manufaa ya umma" (lugha ya kidiplomasia ya kumaanisha "kufukuzwa kazi").

Kwa hiyo, ninachopata mimi hapo ni kwamba, kama mtu ulistaafishwa, kuja kuomba tena kazi serikalini inabidi iwe kwa kibali maalum, labda kwa nia ya kupitia upya sababu zilizomfanya mtu astaafishwe mwanzo na kama bado zinahusika au hazihusiki.

Kwa kadiri ninavyofahamu - na mimi si mtaalamu sana wa ajira za umma- huhitaji kustaafu ili kwenda masomoni, unaweza kuchukua livu ya masomo, inaweza kuwa na malipo au bila malipo.
 
Kibali cha katibu mkuu kiongozi huhitajika kwa mtumishi aliyestaafu ama kwa hiari au kwa lazima au kwa ugojwa au aliyestaafishwa kwa manufaa ya umma, na pia kwa mtumishi aliyefukuzwa kazi a
mbaye anaomba kurudi tena katika utumishi wa umma. Hii ni kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma ya mwaka 2002.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom