Recent content by Captain Doug

  1. Captain Doug

    Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    Thanks Bishop Gwajima,department ya chemistry inakutegemea...
  2. Captain Doug

    Hip Hop documentary in Tz

    Sugu,X plasters,Soggy Dog,inspector harun,GWM na wengine kibao miaka ya 99...enjoy it
  3. Captain Doug

    Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

    Thanks niggar for your help
  4. Captain Doug

    PICHA ZA BANDARI YA DAR ES SALAAM; KIPINDI CHA MJERUMANI NA SASA 2016; NINI TOFAUTI

    kipindi hicho Le Mutuz ndo alikua mitamboni kama sikosei
  5. Captain Doug

    Wtoto wa Digital

    Uyo dogo namjua vizuri ndo yule aliulizwaga na ticha wa civics, "what is family?" akajibu "family is a medicated soap"....nashangaa mpaka leo hajaacha uchizi wake
  6. Captain Doug

    Wizi wa millioni 70: Jinsi ya kumtrack mtu popote alipo na simu yake

    Wewe na mwenzako,Bashite atakua aliwasahau manake inaonesha kabisa mnadeal haram
  7. Captain Doug

    Hivi itakuwaje siku Makonda akijunga na CHADEMA?

    Ndani ya CDM oil chafu itakua neutralized na kuwa safi....thanks CDM for what you always do
  8. Captain Doug

    TUKUMBUSHANE

    wadau walosoma zamani kidogo na hata sasa ni shule gani enzi hizo zilikua zikisifika kwa ugomvi na migomo... Binafsi nilikua nasikia kuhusu milambo,kibiti na tambaza mpaka nikatamani japo nisome kwenye shule mojawapo ili nijionee mwenyewe....taja shule yoyote ni vyema ukatukumbusha na tukio...
  9. Captain Doug

    RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

    huyu nae ndio kiongozi anayeongoza kwa tabia binafsi kama yule pale aliyetajwa na Mzee Hashim Rungwe
  10. Captain Doug

    Ally Kiba usikubali mshikaji wangu, wanataka kukushusha hao

    Sio hivyo tu hata humu jf zisianzishwe thread zozote kuhusu hilo bifu.Na hata likianzishwa na yeyote yule, asitokee yeyote wa kureply manake hata humu kunawatu wanapenda sana bif liendelee.Kama wewe ni team Kiba usibeze team diamond pia kama wewe ni team diamond usiumia kuona team...
  11. Captain Doug

    Ni uongo gani mkubwa uliowahi kuambiwa utotoni?

    niliambiwa et mvua inaponyesha Mungu anakua anamwaga Maji yaliyo ndani ya mapipa....inapopga radi wakati wa mvua basi mapipa yale yanakua yamegongana na kutoa cheche na muungurumo
  12. Captain Doug

    Wanaume wa mikoani.. Waambieni wake zenu, dada zenu, mabinti zenu waache ushamba!!!

    uyu mchuzi michosho tu....anataka tujue yeye ni engineer pia ana gari,kwani we ndo engineer wa kwanza mbna wapo humu wanamagari wakubwa,maengineer wa maana....kwa taarifa yako you are too poor mutherfucker...better you stay cool...paka wa mamantilie ww
  13. Captain Doug

    Wanaume wa mkoa jamani ni wachafu, 'mfyuuu'

    kwanza huyu kichupi mkononi aweke picha uone....nahc hta mwanaume wa dar hawez kutoa mpanga anapiga fagio la chuma anasepa.....dem akipita sokoni dagaa wanacheka
Back
Top Bottom