Recent content by capito

  1. capito

    Aende Halmashauri au Wakala (Agency)

    Nadhani ingependeza kama ungefafanua huko TARURA amepata mkataba wa muda gani na kama ni renewable au non renewable. Kama mkataba ni wa mwaka 1 ushauri unaweza kubadilika otherwise namshauri aende TARURA. Kama halmashauri analipwa nusu ya hela anayoenda kulipwa TARURA maana yake alifanya kazi...
  2. capito

    Ninawezaje kuifungulia mashtaka Benki ya NMB kwa dhuluma hii ya fedha zangu?

    Maelezo yako ya hapo juu hayakutaja milioni 9. Ulitaja 2m na 7m Kama uliomba 9m na ukapewa 7m na mkopo wa awali unaendelea kuulipa then uliwahi kuuliza zile 2m kwenye 9m zilienda wapi? Umeomba bank statement yako na kuona wao benki walikuingizia kiasi gani? Mkopo mpya unalipa wa 7m au 9m? Kama...
  3. capito

    Ninawezaje kuifungulia mashtaka Benki ya NMB kwa dhuluma hii ya fedha zangu?

    Hiyo inaitwa consolidation, uliunganisha mkopo uliokuwa umesalia wa 2m pamoja na mkopo ulioomba wa 7m na kupata mkopo mpya wa 9m. Unless huu mkopo mpya wa 9m labda ungepewa muda mrefu zaidi wa kulipa ili rejesho la mkopo uweze kulimudu otherwise inaweza kuwa vigumu kumudu kulipa marejesho ya...
  4. capito

    Ninawezaje kuifungulia mashtaka Benki ya NMB kwa dhuluma hii ya fedha zangu?

    Kwanza naomba kuuliza wakati unapewa mkopo wa top up, ulipewa hela yote uliyoomba au ulipewa balance baada ya kufuta mkopo wa awali. (i) Kama ulipewa hela zote ulizoomba kwenye mkopo wa pili maana yake mkopo wa kwanza haukufutwa hivyo benki wako sahihi kukukata mikopo yote 2 unless urudishe...
  5. capito

    Rafiki yangu kanipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake mwenyewe

    Makosa ni yako mwenyewe, katika khali ya kawaida haiingii akilini kumnunulia mtoto wa mwenzako nguo bila sababu ya msingi. Ulichotakiwa kufanya ni kukusanya ushahidi na kumuonesha baba mtoto changamoto alizokuwa anapitia mtoto na siyo kumnunulia nguo utafikiri baba yake aneshindwa kufanya hivyo.
  6. capito

    Je, nipo sahihi kuacha uwalimu na kwenda kuwa Technician wa moja ya mitandao ya simu?

    Mi nakushauri uende huko kwenye mitandao ya simu maana kuna career growth baada ya kupata uzoefu unaweza kubadilisha kazi na kupata kazi nzuri zaidi. Kwenye ualimu sioni career growth
  7. capito

    Ushauri wenu wakuu katika hili kama familia tumebaki njia panda

    Kama kaka yako akitaka kujiridhisha kama mtoto kweli siyo wake aombe wakapime DNA
  8. capito

    Naolewa ila nimeamua kufanya revenge kwa maex zangu

    Umemjibu vizuri, mtoa mada amekuwa mbinafsi sana kwa kujiangalia yeye tu na kushindwa kuwa objective. Katika khali ya kawaida mpaka hao wanaume wote wamuache lazima nae ana mapungufu yake na possible nao walimvumilia. Naomba tu kumkumbusha kwamba kupanga kuolewa siyo kinga ya kupata malipizi...
  9. capito

    Huyu mchumba ana tatizo gani?

    Hiyo ndio tabia yake khalisi na ndio maana kila anapoomba msamaha na kuahidi kutorudia lakini mwishowe anafanya yale yale. Hivyo wewe ndio unatakiwa kuamua kama unaweza kuvumilia kuishi nae pamoja na hayo mapungufu yake au la, uwezekano wa kubadilika ni mdogo sana na wengi hawabadiliki sana sana...
  10. capito

    Nichukue hatua gani dhidi ya huyu mwanamke?

    Kweli vyuma vimekaza, dawa tu ya mswaki mbona kitu kidogo sana kanunue tu nyingine! Kuondoka nayo anaweza kuwa amesahau bahati mbaya au akawa na yeye anahitaji dawa ya meno na hamjamnunulia!
  11. capito

    Nina Shida kubwa sana, naomba msaada wa haraka

    Kama haitambuliki kisheria hapo unaweza unaweza kuacha kulipa riba iliyosalia maana ni taasisi za fedha tu ndio kisheria zinaruhusiwa kutoza riba. Jambo la msingi lazima ukusanye ushahidi vizuri kuonesha kuwa ulishalipa mkopo halisi plus riba nyingi tu lakini deni haliishi. Tafuta bush lawyer...
  12. capito

    Wateja wa Nyumba (wapangaji) wanapungua sana siku hizi

    Mkuu hiyo nyumba yako unayopangisha ina ukubwa gani, kodi kwa mwezi ni kiasi gani na iko Kimara ipi?
  13. capito

    Je, huyu mwanamke nimvumilie mpaka ndoa au nipige chini?

    Kutokana na uzoefu wangu tabia ni kilema siyo rahisi kuibadilisha baada ya umri fulani. Kama ulivyosema mwenyewe umejaribu kumbadilisha kwa mambo mengine lakini kwa hilo imeshindikana. Nadhani una option mbili, kwanza maadam umetambua mapungufu yake mapema then ujipime kama unaweza kuyavumilia...
  14. capito

    Natafuta mtandao wa kusoma online kwa video

    Jaribu Coursera ila kuna courses za bure na za kulipia hivyo chagua kulingana na mahitaji yako
  15. capito

    Natafuta mtandao wa kusoma online kwa video

    Jaribu Coursera ila kuna courses za bure na za kulipia hivyo chagua kulingana na hitaji lako
Back
Top Bottom