Recent content by caoren

  1. caoren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupigwa MTUNGO/ kuliwa MANDE ni Janga kwa wanawake wa Tanzania

    mleta mada mimi natafuta chuo cha kujifunza kung fu yani nijue tu kupigana niwe strong... wajinga wajinga wanipitie mbali[emoji41]..
  2. caoren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 22 wafukuzwa Nyegezi Seminary kwa tuhuma za ushoga

    wamefukuza wake11 na waume11 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwenyezi Mungu atusamehe bure
  3. caoren

    JamiiForums Tanzania Hii ngaz kwa ngaz ya Salama hovyoo

    kweli video za ajabu ajabu.. angekua anaangalia wakina nani wana trend , akina nani wana scandal labda ndio unawazungumzia..
  4. caoren

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo utofauti wa Kiba na Diamond

    afu nashangaaga sana mnaposema diamond hajui kuimba wakati akitoa miziki mitaani inaimbwa sana kuliko mziki wowote... hapo hapo mnasema hana sauti lakini sauti hio hio ndo inampeleka kimataifa... tusikariri hayo maneno kwamba kiba mwanamuziki ,diamond mfanyabiashara/msanii diamond sio bakhresa...
  5. caoren

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo utofauti wa Kiba na Diamond

    papa wemba ndo kamshirikisha diamond
  6. caoren

    JamiiForums Tanzania October 1st 2016; Diamond na WCB kuibadilisha Tasnia ya Bongo Fleva tena

    [emoji7][emoji7][emoji7]
  7. caoren

    JamiiForums Tanzania Billnas wenzako hawajaanza ivo!

    TID hapendi kudharaulika ndo mana anaonekana mkorofi
  8. caoren

    JamiiForums Tanzania Safarini Dar: Msaada wa hoteli nzuri bei ya wastani

    fyumba fipo?
  9. caoren

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    kuosha magari unaweza?
  10. caoren

    JamiiForums Tanzania Jana na leo alfajiri nimeota ndoto zimenistaajabisha kidogo

    [emoji26]
  11. caoren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekata kiuno sana, kuzaa ni shida

    kukaa tuli kama mtungi sitaweza kwakweli lazima niandaliwe kisaikolojia kwa mda mrefu..... maisha ya kimakua yameniathiri sana[emoji27][emoji27][emoji27][emoji25][emoji25][emoji25]
  12. caoren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekata kiuno sana, kuzaa ni shida

    hahhaaahhahahaha uwiii kweli eeeh
  13. caoren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekata kiuno sana, kuzaa ni shida

    ngoja niache, kumbe ndo mana sipati mimba [emoji22][emoji22][emoji22]
  14. caoren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Share experience au Nishauri kwa Mkasa huu

    hahahahahaha huyo dada alifanywaje
  15. caoren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuhusu kukaribisha wageni chakula

    UCHOYO ULIOKITHIRI
Back
Top Bottom