yeyotekazi yoyote ndyo kazi gani
Ulinitolea povu kwenye jukwaa fulan in blacket() ukajua JF ww tu ndo vistor wa majukwaa yote humu ila jaribu kuheshim post za watu na mungu atajalia neema pia ni PM ntakusaidia hata nispokusaidia kama inavyotaka ww ila ntakushaur!!@ 0rambona povu!!??
hata sikuongea kitu kibayaUlinitolea povu kwenye jukwaa fulan in blacket() ukajua JF ww tu ndo vistor wa majukwaa yote humu ila jaribu kuheshim post za watu na mungu atajalia neema pia ni PM ntakusaidia hata nispokusaidia kama inavyotaka ww ila ntakushaur!!@ 0ra
hata sikuongea kitu kibaya
nilirekebisha sentensi tu.
sikuongea kingine zaidi ya ushauri

usikate tamaa dia mungu yu pamoja nawe ipo cku utapata kazHabari zenu wakubwa,
Mimi ni msichana wa miaka 23. Naishi Dar/ Mbagala, natafuta kazi yoyote!
Kwa mawasiliano naomba uniPM
Dah umri wa kukuoa kabisa huoHabari zenu wakubwa,
Mimi ni msichana wa miaka 23. Naishi Dar/ Mbagala, natafuta kazi yoyote!
Kwa mawasiliano naomba uniPM
Ngoja niku PM...leta posa
Bandugu mie nmefanya Investment kweny Kilimo aise.. Nmelima Vitunguu, Mpunga na nnafunga kuku wa kisasa vyote hivi vinahitaji pesa inafikia kipind una Invest pesa hadi unabakiw na hela ya kuzungushia kwenye Mradi tu na sio pesa ya kujikimu Binafsi.KILIMO KWANZA.

ngoja na mimi niwekeze kwenye kilimo kwakweli, na mji nahama soonBandugu mie nmefanya Investment kweny Kilimo aise.. Nmelima Vitunguu, Mpunga na nnafunga kuku wa kisasa vyote hivi vinahitaji pesa inafikia kipind una Invest pesa hadi unabakiw na hela ya kuzungushia kwenye Mradi tu na sio pesa ya kujikimu Binafsi.
Pamoja na kufany yote hayo huwez amin hapa nlipo ni Chauffeur wa Mzungu huko Mikocheni natafuta hela ya kula mimi tu. Amin Mungu hakuna mradi unaoweza kuendeshwa bila hela ya ziada kuingia KILIMO KWANZA![]()
![]()