Kama una mpango wa kununua gari kupitia yard au gari zilizo nchini tayari kuwa makini sana na haya maneno mawili;
1. AFTER MVUNJOO
2. JUST ARRIVED FRESH FROM JAPAN
Haya maneno mawili yanatumiwa sana na madalali kuuza magari yaliyokaa sana.
Msemo wa kwanza AFTER MVUNJO unatumiwa kuuza gari hata...
Kama una mpango wa kununua gari kupitia yard au gari zilizo nchini tayari kuwa makini sana na haya maneno mawili;
1. AFTER MVUNJOO
2. JUST ARRIVED FRESH FROM JAPAN
Haya maneno mawili yanatumiwa sana na madalali kuuza magari yaliyokaa sana.
Msemo wa kwanza AFTER MVUNJO unatumiwa kuuza gari hata...
Ukinunua gari ya milioni 25, ukabaki na milioni 3 we huna uwezo wa kununua hiyo gari ila umefosi. Kama likipata ajali likawa halifai na ukarudi kupanda daladala maana yake hukuwa na uwezo nalo.
Mdau, leo nigusie kidogo suala la uagizaji magari kutoka nje. Hasa haya ya Ujarumani.
Wengi huagiza haya magari wakiamini huko lilikotoka lilimilikiwa na mtu mmoja. hapana hata kule kuna yard za magari used na sio wazungu/wajapan wote wana uwezo wa kununua zero kilometer.
Zipo yard maarufu...
Huwa najiuliza , kama taasisi ya serikali moja ya nyezo muhimu za kuboresha huduma ni kupokea maoni.
Cha ajabu TRA wakiposti wanafunga maoni, sasa naijuiliza huwa wanampostia nani sasa.
Tafrisi ya haraka ya wanachofanya ni kuonesha kuwa kazi na shughuli zao sio halali.
Hamna maagizo yoyote kutoka kwa Mungu, hamna kiumne yeyote amewahi kuongea na Mungu. Mungu ni jina alilobuni mwanafamu kwa fikra za udadisi, lakini hakuna uhakika kama Mmiliki wa dunia anaitwa Mungu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.