Recent content by Canaani

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania govt on Homosexuality: We can do without UK aid

    Achen kuendekeza hizi topic why do you discuss while the position of our nation i s clear and the chapter should be closed. Wale mnao endeleza topic hii kama mna maslahi yenu binafs tuelezane
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ndani ya BBC: Kitila Mkumbo atetea 'Ushoga'

    Huyu jamaa ( Dr. Kitila Mkumbo ) hafai kabisa ndio maana hata watani zangu chadema wamemfukza. Katika maisha kuna maswala yanayohtaji suluhu ya haraka kulinda heshima ya jamii. Na kuna mipango ya mda mrefu. Sidhan kwamba unaweza kushughulkia matatizo mengine wakati kuna swala linalomomonyoa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ushoga: Wamiliki wa Facebook na Instagram waifungia Uganda!

    Nawashauri waganda watulie watengeneze application zao za mawasiliano.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Vazi La Diamond Platinumz Lililochangia Kupigwa Marufuku Video Ya Dully Sykes

    Ni haki kabisa huyu dada kavaa nguo zisizoendana na utamaduni wetu.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ndugu Wanataka Nimfunge Baba Yangu Mdogo

    Umfunge au umpeleke mahakamani sheria ichukuwe mkondo wake
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru jengo karibu na Ikulu lipunguzwe urefu

    Ushauri wangu serikali inunue hilo jengo zikae ofsi za taasis mbalimbali za ikulu.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hali si shwari Mabibo Hostel - UDSM

    Pamoja na kujimobilize vijana wa mabibo ni watu wazima wanaoweza kufanya usafi wa maeneo yao kwa kupanga ratiba zao mpaka tatizo litakapotatuliwa.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kisiasa Nini Maana ya Uteuzi wa Paul Makonda Jana?

    Big up makonda kalinde maslahi ya ccm tubayoimini sis vijana kuijenga na maadili ya taifa tulitakalo. Simamia misimamo dhabiti na maadili tuyatakayo.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kama Chelsea watashinda leo? natembea uchi toka posta mpaka Ubungo

    Tunaomba utembee maana chelsea imeishashinda.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Hawa wote hawafai kuwa marais wa nchi wajiandae kwenda kustaafu, nchi haiongozwi na watu wenye uroho wa madaraka kiasi hiki.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tamko la M/kiti CCM MKoa wa Shinyanga dhidi ya Malecela, Makonda

    "Mgeja namfananisha kama mbwa aliyetoroka kwa bwana wake usiku kwenda kupandwa kurudi akakuta geti limefungwa"
  12. C

    JamiiForums Tanzania Israeli billionaire sells Congo oil rights for 300 times purchase price: PROF. MUHONGO take a CLASS

    Kuna ubaya gani kwa msimamo wa muhongo
  13. C

    JamiiForums Tanzania PICHA: CCM na ulaghai wa kisiasa. Wagawa chakula (ubwabwa na nyama) kwa wananchi

    Kwani ukimwandalia mgeni wako chakula nyumbani kwako ina dhana ya kitapeli hiyo? Wapinzani ni wapinzani munaondoa hata dhana ya utu machoni mwa watu. Sisi tuna wanachama kuwapa chakula wanachama wako si utapeli ni kuonyesha ustawi wa chama.
  14. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawana Ikulu wanarusha chopa tatu angani kujenga chama, wakichukua nchi itakuwaje?

    Nchii hii hata siku moja haijengwi kwa chopa,itajengwa na watu wanaopita chini na kuyaona maisha halisi ya mtanzania. Ccm tupo kila mahali mkipanda chopa sisi tunapita nyumba kwa nyumba. Nyinyi hamna wanachama mna mashabiki sisi tunajuwa wanachama wetu kwa mipango madhubuti.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ni nani 'Role Model' wako katika siasa za Tanzania?

    Mwigulu Lameck Nchemba
Back
Top Bottom