Recent content by Campus

  1. C

    JamiiForums Tanzania Viwanja Kigamboni Mwasonga Milioni 1 tu kwa heka.

    samahani, najua sio mahala pake. Ila naomba kuuliza anayepajua Marogoro,huko huko kgamboni. kuna kiwanja,sema nina maswali khs umbali etc
  2. C

    JamiiForums Tanzania Anayepajua Malogoro

    Jaman habari.Naulizia eneo linaitwa Malogoro,hapa Dar es salaam. Ahsante.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka tafadhali

    Wasalaam nyote, mwenye kujua huduma ya kwanza kabla sijafika hospitali anisaidie. Kifua kimebana sana ghafla usiku huu,kinauma na siwez hata kuongea sauti ni kama ya kuku mwenye mdondo. Maumivu makali sana ya kifua na ninapumua kwa tabu sana. Sijawah kuwa na asthma wala hatuna historia hyo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tuliofanya interview OUT

    ndiyo.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tuliofanya interview OUT

    Wasalaam nyote, Hivi,katika sie tulofanya interview pale kwa academic posts na zile nyingine kuna yeyote ameshaitwa? Nataka kujua kama ndo nshakoza kazi au niendelee kuhope. Na km bado kuna mwenye idea wanaeza kuita lin walofanikiwa?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Folks,your help I got an interview tomorrow.

    Feedback?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

    Nilikuwa nishamchukia huyo mama baada ya kusoma post. Lakh.nh. we bwana Mungo Park umenibadili mawazo sana. Nadhani uko sahii. We should give that woman some benefit of doubt. That dude afanye kama ulivosema.
  8. C

    JamiiForums Tanzania unayefahamu nice and affordable lodges in Bagamoyo

    Msaada kwa anayefahamu lodge nzuri na zilîzopo maeneo mazuri Bagamoyo. Bajeti ni kati ya 20-30 thou per day.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Translator anatafutwa haraka sana!!!!

    Ni pm sasa hivi.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ni mabomu tena mbagala?

    milipuko imeacha na umeme umerudi. we have no idea wat it was.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ni mabomu tena mbagala?

    Kuna hali ya sintofahamu kwa wakazi wa huku Mbagala. Milio inayoashiria mabomu inasikika watu tunataharuki. wakati Wengine tunatafakari kukimbia kuna habari zinasema ni majambazi yamevamia banki. Wengne wanahisi mkutano wa dini uliokua eneo hilo ndo umeshambuliwa.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Maneno Mazito Ya Obama Kule Kisiwa Cha Robben- Tafsiri Yangu...

    aiseh kwa mara ya kwanza nimependa maandiko yako. well put analysis.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Maneno Mazito Ya Obama Kule Kisiwa Cha Robben- Tafsiri Yangu...

    nyooh ajikute tu! "angwenda ngelebhuno!"
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Obama: Kenya says 'All lions in Tanzania are Kenyan'

    Obama refusal to visit Kenya will have consequences By KWAMCHETSI MAKOKHA Posted Friday, June 28 2013 at 18:57 US President Barack Obama is no friend of Kenya. Consider that when no other country ever declared a public holiday to celebrate his election victory in 2008, Kenya did...
  15. C

    JamiiForums Tanzania We are the other people

    aisee najuta kufungua hapa leo. Kama hauko vizuri kiroho unaeza kufa kabisa kiroho.
Back
Top Bottom