Ni mechi nzuri ambayo haina utabiri wa kirahisi..Ila Manchester City nawapa kete yangu kuweza kuibuka mshindi leo..Hii ni kutoka na kasi na nguvu ya uchezaji wao..City licha ya kumkosa Aguero na Fernandinho na nikiingalia safu ya ulinzi ya Barca sidhani kama Negredo au Jovetic au Dzeko kupata...
Hahahahh..Hapana mkuu Kukamido...Sidhani kama Gunners wana kikosi kibishi ambacho kipo tayar kuizuia Liverpool...Nimefurah kusikia kuwa Flamini amerudi ila bado kuna mapungufu mengi ambayo nadhani Liverpool watayatumia kama mwanya kuwaumiza leo...
Mimi ni shabiki wa Chelsea na nipo hapo si kiushabiki bali nina maoni yaliyo si ya kialshabiki....
1.Arsenal ana nafasi ngumu ya kubeba taji ifikapo mwezi Mei..Hii ni kutokana na ratiba ngumu iliyo mbele yake!..Pia kukosekana kwa Ramsey ambaye alikuwa mfunguji na mchezeshaj mzuri ni pengo kubwa...
Napishana na dada mmoja hapa Ubungo..Aiseeeeh!!!kavaa kigauni ambacho urefu kwenda chini kinaishia juu ya mapaja akiwa amesimama..Akiwa amekaa ndo malighafi zote zinakuwa exposed nje!!!..Sasa ni kwamba anajielewa mpaka akaamua kuvaa hako kagauni tena mchana sasa au hajui alitendalo au ndo...
Arsenal leo una wakati mgumu maana sidhani kama una kikosi imara na chenye nguvu leo kushindana na Liverpool..!!
Leo sikupi kete mbele ya Suarez na Sturridge.....Polee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.