Naombe mnitajie wise names

Naombe mnitajie wise names

harrison look at mwakyembe n i know another Harry yuko vizuri sana...
 
Jamani wanajf natumaini mko poa niko hapa kwaajili ya kupata majina mbalimbali ya watoto wa jinsia zote ambayo ukimpa mwanao yanamfanya kuwa mtu wa mafanikio mean while anakuwa wise coz mi ni wale wanao amini kuna uhusiano kati ya jina na tabia..but i know kuna watu wengine mtaanza kunishambulia msinishambulie bali mnisaidie hayo majina kama huna mchango wwt nibora usiandike kitu coz siwalazimish bali ninawaomba.

Hekima.
 
hahaha! expecing a baby? if u get a baby girl go for Nancyclara,
 
Wakiume,, Leith,Nawaf,Huweidan,Mishael,Thani,Jamal,Kamal.........
Wakike,, Shaimah,Meitha,Suhaila,Reem,Leiyah,Hanadi,Leyla,Ranin,Nayfat,Sarya,Nawal...
 
Jamani wanajf natumaini mko poa niko hapa kwaajili ya kupata majina mbalimbali ya watoto wa jinsia zote ambayo ukimpa mwanao yanamfanya kuwa mtu wa mafanikio mean while anakuwa wise coz mi ni wale wanao amini kuna uhusiano kati ya jina na tabia..but i know kuna watu wengine mtaanza kunishambulia msinishambulie bali mnisaidie hayo majina kama huna mchango wwt nibora usiandike kitu coz siwalazimish bali ninawaomba.
Jina lolote utakalo amua kumuita mwanao au kujiita mwenyewe lazima uwe na sababu sasa wewe kujiita Babu sea ulikuwa unamaanisha nini??
 
Last edited by a moderator:
Jina halihusiani na kuwa wise hata kidogo!

Kuwa wise kunatokana na vitu vingi sana ikiwemo malezi ya kiujumla ya wazazi, jamii inayozunguka na elimu kiujumla....

Otherwise mwite huyo mtoto 'mwita' my second name, my father's name! He was very wise and very excel and superb...

All the best....
 
Back
Top Bottom