Recent content by calv41

  1. calv41

    Nilichojifunza baada ya jasiri/asiyeogopa kujificha kwenye mahakama isiyo kuwa huru

    Hivi unadhani polisi waliogopa mahakama ama kamera za waandishi wa habari na kujitia wanafata sheria kuepuka ya na Nape yasijirudie kwa Lisu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. calv41

    Jifunze namna ya kutumia Tsh 300,000 kama mtaji wa kufugia kuku

    Mkuu ni kuku wa aina gani maana hao kuku 10 watage mayai 240 kwa mwezi ukimaanisha kila 1 atage wastani wa mayai 24 kwa mwezi?
  3. calv41

    Rais Magufuli amteua bwana Tixon Nzunda kuwa Katibu Mkuu TAMISEMI atakayeshughulikia Elimu

    Jamani walio karibu na mkuu wamkumbushe kuwa kazi si kufanya teuzi tu kuna mengine yakufanya
  4. calv41

    Rais Magufuli mpandishe cheo askari wetu kwa Ushujaa wake

    Kwanza kaliaibisha jeshi la polise kwa katumia nguvu kubwa pasipo sababu ya msingi pia na anaonekana hajui majukumu yake maana kazi ya polise na kulinda raia na mali zao na kazi ya kulinda nchi ni jwtz na hizo risasi alipe ni kodi zetu wananchi
  5. calv41

    Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

    Toka alivokula rambi rambi tena akawambiwa wafiwa wa wanakagera wenye majozi mwafaa mbaya zaidi alivoenda zindua mabweni ya magufuli huku ikirushwa live huku maziko ya polise walio uwawa yanafanyika ndio nilipo pata picture halasi ya maneno Hashim Rungwe " hii inchi inaongozwa na tabia na...
  6. calv41

    Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

    Huu msiba umetuumiza watu wote hasahasa ndungu wa karibu lakini kuanza kulaumu watu pasipo uthibitisho kwamba wametolewa kafara sijui free mason sijui mkuu wa shule hii haisaidi bali itajenga chuki na kuzidisha machungu kwa waliofiwa ambayo labda ingeepukika kama watu wangekaa kimya na...
  7. calv41

    Tabia za wanawake wa karne hii wanakera!!!

    Mimi naona wewe ndio mwenye tabia mbaya maaana huwezi mpa chakula halafu uje kumtangazaia huku haya ni masimango na uchoyo tu badilika
  8. calv41

    Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Inasikitisha sana mwenyezi mungu awalaze mahali pema peponi na awatie nguvu ndugu na jamaa waliofikwa na msiba
  9. calv41

    Sugu awa Mbogo bungeni, amshukia Ally Kessy, Makonda, Simbachawene na Mwakyembe

    Kwa hili sugu kasema kweli maana watu wachache wenye ujasiri wa kulikosea tabaka pendwa la mheshimiwa soda
  10. calv41

    Wanaume na fikra potofu kuwa mchumba akisomeshwa lazima akusaliti

    Msichana kusomesha nikujitakia ugonjwa wa moyo kuna jamaa alimsomesha msichana ikiwa na imani kuwa msichana badaye aje wasadiane kwenye maisha kwa kuwa walikuwa na mpango wa kuishi pamoja basi kumbe dem ana yake kichwani baada ya kumaliza tu chuo akapangiwa kutuo cha kazi basi jamaa akajipiga...
  11. calv41

    Ni lini serikali itapiga marufuku makanisa ya kilokole kwenye makazi ya watu.

    Hizi kelele ni kero japo watu wanasema ukipinga una mapepo ila hapana kwani mtu ukifanya ibada zako lazima ufungulie sauti kubwa na uwakere watu wengine
  12. calv41

    Rais Magufuli, Mafuru apelekwe mahakamani sio kupangiwa kazi nyingine

    Magu alishasema hafukui makaburi na hizo tuhuma ndio makaburi yenyewe hivyo sahau Mafuru kushtakiwa
  13. calv41

    Kama na wewe unajiamini, weka mkeo/mchepuko wako hapa

    Kwa mapozi haya sikuachi
  14. calv41

    Askari waiomba Serikali kuwapa posho walizoahidiwa

    Kweli mshahara mdogo kwako maana hawa wenywe hawadai kuongezewa mshahara wenyewe wanadai posho ya vinywaji wakati watu wengine hata posho ya nyumba hawapewi
Back
Top Bottom