Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

Rais ametumia busara kudelegate msiba kwa mkuu wa mkoa na viongozi wengine.

Hivi Rais akianza kuhudhuria kila msiba ili awaridhishe watu na kuonyesha 'utu' wake, kila siku atajikuta yupo msibani. Kweli ni msiba wa watoto wetu, inauma sana kupoteza vijana wetu wadogo, hazina ya Taifa. Je na wale waliofariki kwenye ajali iliyofuatia kutokea Tanga Jumapili nao si ni Watanzania, wazazi, walezi na watoto pengine. Nao ufanywe msiba wa Taifa, bendera iwe nusu mlingoti na Rais ahudhurie msibani kuwapa pole wafiwa.

Whats next kwa vifo vingine ? Ndio maana hata kule Bukoba baada ya tetemeko hakukimbilia kwenda. Angekwenda leo angekua kwenye lawama kubwa kulaumiwa ubaguzi wa misiba.
 
Hivi nyinyi watu mbona hamkaukiwi maneno na visa...?
Mh JPM nikuombe baba piga kazi maana kuna msemo wangu
huwa napenda kusema hivi" IF THEY DONT APPRECIATE U'R PRESENCE LET THEM APPRECIATE U'R ABSENCE" . hivyo wewe chapa kazi kwa kwenda mbele
maana wabongo hawaishiwi drama kila siku.
Umejifunza kuweka rangi maneno mkuu na mimi nifundishe
 
hata kwenye msiba wa dadake JK hakuhudhuria......upuuzi mwingine eti alihudhuria msiba wa masaburi.....masaburi ni nani?
 
Toka alivokula rambi rambi tena akawambiwa wafiwa wa wanakagera wenye majozi mwafaa mbaya zaidi alivoenda zindua mabweni ya magufuli huku ikirushwa live huku maziko ya polise walio uwawa yanafanyika ndio nilipo pata picture halasi ya maneno Hashim Rungwe " hii inchi inaongozwa na tabia na chuki binafsi za watu" maana uwepo wa Rais ungewatia faraja zaidi watanzania wote
 
kwanza tu nikupe pole kuwa wewe si jasiri ni muoga sana na hizo sifa ulianza kueleza kwenye hii makala haunazo embu leo toa maoni yako kwakutumia ID isiyo mficho yaani weka namba yako ya simu ili utumiwe meseji kuwa ujumbe wako umefika pili usitake kumpangia mh raisi majukumu kumbuka raisi ni taasisi hivyo akiwakilishwa na makamu wake ni sawa na yeye kuwa yupo pale .yaani makamu kama mwenyewe hayupo pale basi ndiye mkuu.i hope umeelewa.kwa kuanzia hapo.
 
Me nikajua unaongelea shida na matatizo ya watanzania...kumbe misiba we mwehu sana...hata yesu alisemaga hivi acheni wafu wazike wafu wao mtu akishakufa hata wahudhurie wananchi wote wa Tz hamna kitachobadilika...na inaonyesha wew unaombea misiba itokee ili uhudhurie.
 
Back
Top Bottom