Legeza mwendo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 519
- 653
Wamenikimbia wote aisee... Nimebaki na picha tu mkuuMkuu unammiliki yupi kati ya hao ???
Aisee,pole sana.Wamenikimbia wote aisee... Nimebaki na picha tu mkuu
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
Kidonge cha rangi mbili
Tunaitaga kapigwa pasi makalioniWangu huyooo
Kumbe we ni KE?mpenzi wangu wa moyo
Wewe si uko ughaibuni, haya mazingra ya baa za bongo imekaaje hapoView attachment 439544
Toto mashalaah...hata kipele halina.
Toto tamu kama tunda damu.
My all and all....
Wewe si uko ughaibuni, haya mazingra ya baa za bongo imekaaje hapo
ndioKumbe we ni KE?