mombo yetu
mombo yetu
Duu hometown Store Mombasa sehemu ya kwanza kupata maendeleo TanzaniaDah, umenikumbusha mbali sana mkuu nimekumbuka Kiriki, Shighatini, Store etc
mkuu kipindi niko shingatini aka shingatiri panda sana hivyo vilima kuuza pepa feki kiriki,kilongaya,lomwe na usangi sec.Dah, umenikumbusha mbali sana mkuu nimekumbuka Kiriki, Shighatini, Store etc
Duu hometown Store Mombasa sehemu ya kwanza kupata maendeleo Tanzania
mkuu kipindi niko shingatini aka shingatiri panda sana hivyo vilima kuuza pepa feki kiriki,kilongaya,lomwe na usangi sec.
Halafu upareni hapakuwa na magonjwa ya ajabu ajabuDah, true talk mkuu Mombasa store ndio sehem ya kwanza kupata maendeleo T-Zee.
Dah, umenikumbusha mbali mkuu kule maparachichi hununui lakini Dar unaambiwa moja buku.
Nimekumbuka those days when life was life sio sasa. Kama gari bovu kwa kweli.
Halafu upareni hapakuwa na magonjwa ya ajabu ajabu