Rais Magufuli amteua bwana Tixon Nzunda kuwa Katibu Mkuu TAMISEMI atakayeshughulikia Elimu

It sounds like kumteua mwl wa darasa kuwa mkuu wa shule na mkuu wa shule kumteua kuwa mwl wa darasa
 
Hivi huyu jamaa hii teua tengua kila siku watu watafanya kazi saa ngapi?
 
Jamani walio karibu na mkuu wamkumbushe kuwa kazi si kufanya teuzi tu kuna mengine yakufanya
 
Anzeni kufanya tathmini ya fedha za uhamisho kwa uteuzi huo wa kila mara mtaona kuwa nchini bado fedha za kodi hazijaelekezwa ktk mambo ya msingi hususani huduma za kijamii
 
Kuondolewa Unaibu Katibu Tamisemi mpaka Katibu Tawala huko Rukwa maana yake Katumbuliwa huyo Jamaa sijui alifanya kosa gani masikini
 
Back
Top Bottom