Recent content by callmeGhost

  1. callmeGhost

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    No 1, Ulifanikiwa kuupata?
  2. callmeGhost

    Msaada: Nimetapeliwa kupitia mtandao!

    Pole Sana. Mimi nina two incidents. 1) Miezi michache iliyopita nilikuwa Dar, mtaani kwetu actually. Kuna mdada fulani alikuja na begi akamwambia wakala 'nataka uniingizie laki 2 kwenye hii number...' yule wakala ni wakitaa na wateja wengi asilimia kubwa wanaishi humo mtaani kwahiyo ana amini...
  3. callmeGhost

    Kwa anayejua kireno/kibrazil njoo utoe shule

    Como estás? Meu nome e Ghost [emoji4][emoji4][emoji4] -callmeGhost I Sent using Jamii Forums mobile app
  4. callmeGhost

    Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Amani Primary School, Bukoba. -callmeGhost I Sent using Jamii Forums mobile app
  5. callmeGhost

    Hivi sisi watu weusi, hatuwezi kuwabagua na kuwapatia manyanyaso mazito watu weupe?

    Kwani umepatwa na nini Sauda? Nikujibu. Unajua Kwanza wenzetu wana umoja Sana, Yani Sana. Kwanini? Tena naomba Raisi na serikali yako mliangalie hili. Kuna benki moja kubwa sana Tanzania. Ahhh kwanini naificha benki yenyewe CRDB. Nilienda pale siku ya Jumamosi karibu na sikukuu. Watu tumepiga...
  6. callmeGhost

    Jinsi mke wangu alivyonisaliti na bosi wangu

    Hata IGP aliwasihi, Kama mnauwezo wakumiliki silaha ya moto, milikini kujilinda. Unavyosema pande la mtu kwani GYM inazuia risasi? Nina rafiki mmoja huyu jamaa alivyo ni Kama description yako 'pande la mtu'. Yeye anakula wake za watu na akifumwa anawazibua waume zao. Wakitaka kwenda polisi...
  7. callmeGhost

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Afrolink-Tz Consult Ltd, Hello, nilikuwa nina swali kwa upande wakupata TIN ya biashara. Je Kama mtu unataka kufanya online business; vile vipengele vya hati ya pango na eneo la biashara unajazaje? Note online business, I mean Kama unatumia Instagram, WhatsApp etc. Hauna physical shop. Looking...
  8. callmeGhost

    Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

    Mother Confessor ana miaka 26. Ni mwanadada amabaye ningependa kumjua. Ana miliki IST. Ana shape na sura Kama Shakira. Mother Confessor naomba nikirudi Tanzania nikutoe for a coffee. Najua jiji Dar joto 😃. -callmeGhost
  9. callmeGhost

    Network business ipi ni halali?

    Ngoja na Mimi nitoe ushuhuda hapa. Nitoe historia fupi nilifikajefikaje... Siku moja nimetoka Posta nikapitia Makumbusho kupanda Daladala za kwenda Boko. Sasa pale stendi wakati nasubiri daladala nikaona mdada flani mrembo hatari. Note ilikuwa saa mbili usiku. Likaja la Kwanza bhana bhana...
  10. callmeGhost

    Sikio lake limeziba msaada tafadhari

    Duhhhh hapo kweli kamuone daktari kama lilikua linauma then likaziba, mpelekeni hospital. Ila sijaelewa why liliuma in the first place, out of nowhere? Alikua amasafisha na cotton bars?? Or? I had a similar case. Mimi masikio yangu nilichukua kwa mama. Mama has really small years. Kuna kipindi...
  11. callmeGhost

    Mafuta bei juu tatizo liko wapi??

    Hapa ndio tunaona umuhimu wa mababywalker. Pamoja ya kuwa wadada hawatotuangalia tena ila hatupandi daladala. Seriously hili ni janga kwa kweli. Serikali liangalieni hili, replan your strategies. Maana tunaona the path you chose inaongeza maafa. Waziri wa utalii, ungeanza wewe kutoa makodi na...
  12. callmeGhost

    Wanaume wenye playlist za gospel kwenye magari ni husband material

    Hahahah Wenda Kuna ka ukweli lakini Mimi kwa Experience yangu sidhani. Tena wenye playlist za gospel ndio balaa. Mi naona husband material ni matendo, note, matendo sio tendo; eg kusikiliza playlist ya gospel. Kuna marafiki zangu wa 5 wanaenda Sana kwenye hizi fellowship, aiseeeeee wanawala...
  13. callmeGhost

    Utaanzaje kumshauri rafiki wa hivi au utamuacha apambane na hali yake

    Sina roho mbaya ila muache tu akajilie papuchi na apate ngoma(Kama kweli IPO). Kwanini nasema hivi? Kwasababu msela mwenyewe hafichi kitu. Kwanza marafiki wa hivi hawafai, asilimia kubwa watakufikisha central, Kama sio Central bhasi mochwari. Nashangaa kwa hizo tabia kafika umri huu well and...
  14. callmeGhost

    Wanawake wa kinyaturu!

    Babe wangu Mnyaturu. Nakupa hizi sifa from how I know relatives wake wote. Ni weupe, wapole na watiifu Sana. Hawalalamiki ovyo, mimi wa kwangu namfanyiaga mpaka testing, namwambia kesho nakupa laki 5, ikifika siku namwambia hali imekuwa mbaya. Wala hakasiriki, sio kama my previous ladies...
  15. callmeGhost

    Is time traveling possible?? (kusafiri muda inawezekana?)

    Umenikumbusha mbali, enzi hizo form 1 nilifanya hii research (jamani wazazi, msisikie international school school fees mil 20 kwa mwaka mkaona mnapoteza hela). Binafsi I do believe. Kwanz I should tell you I am a Catholic and at the same time I am a scientist. Render to Caesar the things that...
Back
Top Bottom