Recent content by calabocatz

  1. calabocatz

    JamiiForums Tanzania Nipe mbinu nimpate huyu manzi

    Kumbe hujanielewa Mkuu.sijasema Niko kimboka nanunua Malaya..kumpenda mtu sio dhambi kwa yeyote yule.jiuleze kwenye biblia kuna sehemu imeandikwa wap utampata Mke mwema?
  2. calabocatz

    JamiiForums Tanzania Nipe mbinu nimpate huyu manzi

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] et kwa udomo zege...asante kwa ushauri
  3. calabocatz

    JamiiForums Tanzania Nipe mbinu nimpate huyu manzi

    Hiv tunasomaga tuu bila refreshments? Lazima nipate mtu wa kumfanyia reference... Yan nikifel naona aibu coz demu yupo.[emoji1] [emoji1]
  4. calabocatz

    JamiiForums Tanzania Nipe mbinu nimpate huyu manzi

    Tuko chuo na wote ni mwaka wa kwanza.ukwel nampenda sana.ila yuko serious muda wote.nilimwomba namba kanipa ila kuna limjamaa lina msomesha tena pemben yang tu .nipen mbinu naoa nikipata huyu mwanamke .
  5. calabocatz

    JamiiForums Tanzania UCHOCHEZI? Mbunge Cecil D. Mwambe(CHADEMA) ashikiliwa na Polisi Mtwara

    Mwaka Wa pili tunaenda wa tatu. Viwanda mtajenga lin?
  6. calabocatz

    JamiiForums Tanzania Msigwa umejizolea aibu ya mwaka! Je, kanda ya ziwa hakuna Wahehe?

    Jaman Tz nan katuroga? Mtu asema mitandaon kuna uzwazwa mwingi.na bado yy anaongeza uzwazwa mwingine...hata kama NI mpiga kinubi wa mfalme anapokosea kubali maisha yaendeee..hauna namna ya kuuaminisha uma uchafu kuwa usafi..Ana upendeleo tena wa wazi
  7. calabocatz

    JamiiForums Tanzania Wauza Simu nataka Simu ya bajet 150000-250000

    Rubii Simu bado ipo?
  8. calabocatz

    JamiiForums Tanzania Hiki kilaji mnakiitaje kikwenu?

    Manona
  9. calabocatz

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Waziri Mwakyembe afiwa na Mkewe Linah Mwakyembe

    [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] nisije kuchafua hali ya hewa Bure
  10. calabocatz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia yake inamfanya asiniamini

    Brother,it's wise to follow ur heart, but take ur brains with you! Nadhani hapa utakuwa umemuelewa mkuu
  11. calabocatz

    JamiiForums Tanzania Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Tatzo kubwa la mbeya ni kinyakyusa tuu.wakazi wa mbeya wanadhan kila mtu anakijua..inaniboa sana
  12. calabocatz

    JamiiForums Tanzania Kama huyu ( pichani) ndiye Ebitoke, nakubaliana na wanaosema haendani na Ben pol ( mbovu)

    Mwanaume kuwa mmbea na kukesha unatafuta udaku haifai.au unataka uolewe Na Bernard?
  13. calabocatz

    JamiiForums Tanzania Ushauri na msaada wa mawazo tafadhali..

    Kwahiyo private naweza pata nafasi?
  14. calabocatz

    JamiiForums Tanzania Wauza Simu nataka Simu ya bajet 150000-250000

    Bei na pic mkuu
  15. calabocatz

    JamiiForums Tanzania Wauza Simu nataka Simu ya bajet 150000-250000

    Bei gani?
Back
Top Bottom