calabocatz
Senior Member
- Jan 1, 2017
- 110
- 88
Matokeo yangu ni Division 3 point 25
Math D, Eng/science D,Kiswahil,D,Civics D ,Engls C ,Chemistry C na Biology C.
Kwa Matokeo haya mimi napenda kusoma Diploma ya CLINICAL MEDICINE.
Naomba msaada kwa wajuzi wa mambo course nyingine ambazo ziko marketable kwa wakat huu..pia naomba msaada kwa mwenyew uwezo wa kunisaidia kupata vyuo vya serikal maana kwa ada ya private naona pakubwa sana.
Kwa mwenye msaada aniPM au hapa hapa nimi nitamtafuta ..chonde wandugu ..