Wauza Simu nataka Simu ya bajet 150000-250000

calabocatz

Senior Member
Jan 1, 2017
110
88
Naomba mtu yeyote anaeuza simu ..ila sumsung' blacberry 'lg,iPhone ,HTC na Sony,nyingine tunaweza kuzungumza isipokuwa Itel
 
Naona unataka kununua bland na sio simu...kwa pesa yako unaweza kupa c9 na pesa ikabak still ikafanya poa....
Iphone kwa bei hyo utapata mfano wa iPhone tu...

Ngoja nikupe darasa...
Nokia tochi na Samsung ya tochi inakubalika Nokia tochi still inapitwa bei na Samsung ya tochi...
 
SAMSUNG GRAND PRIME PLUS
260,000 (haipungui hata 100)
Mpya boxed
Rangi chagua unayotaka kuna GOLD, BLACK, SILVER
Kwahiyo mimi nilipigwa 40K??

Namuachia Mungu asemezane na yule jamaa...
 
Bei na pic mkuu
5f193d9fe3dba0d863e8c42a4f2b4506.jpg

250 boss ni used three month's
9df3bbe32610419ceeac9a45580c2bf7.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom