ni matatizo ya kufuata mkumbo tu,juzi waliandamana kisa ooh kuna muvi imemkashifu mtume,ukiwauliza hao waandamanaji wenyewe kuwa ni wangapi wameiona hiyo muvi na mtume kakashifiwa vipi hawajui,sasa huu ni ulimbukeni unaosababishwa na kutokua na elimu,amkeni waislam wa tanzania acheni kugeza vitu...