Manchester utd - real madrid agg: 1-1

Manchester utd - real madrid agg: 1-1

Sir Alex akitaka kushinda hii mechi asishambulie sana atumie mbinu ya kuwachia Real wachezee mpira sana Man ifanye mashambulizi ya kustukiza.Mbinu nyingine ni mipira ya adhabu ndogo na kona Madrid si wazuri katika hayo maeneo.Siku zote timu inacheza na Madrid ikishambulia sana ina hatari ya kufungwa.

Kwakuwa Jones ni majeruhi nafasi yake ichukuliwe na Anderson,lazima awe makini sana na sehemu ya kati asipende kwenda mbele mara kwa mara.Man itakapokuwa inashambulia ihakikishe inafanya hivyo kwa kutumia wachezaji wachache sana ilikukwepa kufungwa kwa counter attack.
 
NB:
Muheshimiwa Redondo pia ameichezea ile klabu yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni...
\

- José Mourinho has never won a Champions League game at Old Trafford.
 
Mourinho: "Man Utd are on a fantastic run, they are in QF's of FA Cup, have already won the PL in March, and not lost a game in months. But we have been also good in 2013."
 
Its time for Utd to face the monster named CR7 they created....
Are you ready fellas ??
 
José Mourinho: "I will control my emotions. If I lose tomorrow, I won't cry. If I win, I won't run 100 metres, that's for sure."
 
Ilikuwa ni April 19 mwaka 2000 katika dimba la Old Trafold...

Real Madrid waliwakilishwa na:
Casillas,
Salgado,
Karanka,
Campo,
Carlos,
McManaman,
Muheshimiwa Redondo,
Helguera,
Savio,
Raul,
Morientes.

Subs:
Illgner, Dorado, Anelka,
Baljic, Geremi, Karembeu, Julio Cesar.

Pale katikati Referee alikuwa ni Perluigi Gigi Collina toka katika viunga vya Tuscan nchini (Italy).

naikumbuka mechi hii Manchester UTD walichutamishwa sebleni kwao na kukubali kulalwa goli 3-2.

Katika mechi hii washabiki wa Man UTD na Wa Madrid woote walilipuka kwa pamoja kushangilia goli la 3 alilolifunga Raul Madrid.
Goli hili lilitiwa ladha na nakshi kwa chenga ya maudhi aliyopigwa beki wa Mnchester UTD Henning Berg na kiungo mbishi, sugu, anayejuwa mpira, na kipenzi cha waargentina hapa namzungumzia Muheshimiwa Fernando Redondo.

Mpaka mwisho wa mchezo Madrid waliwaandamisha Man UTD na kuendeleza utemi na ubabe kwa KILABU hiki cha Uingereza.

Teh teh usimchukie Sisimizi...Sukari haimalizi

teh teh teh whats ur conclusion mkuu?
 
Hah hah hah hah hah hah TANESCO mpo? Fanyeni kazi yenu kwani sababu ni nyingi mnazo bwana!!!!!!!
 
leo niko njia panda mana uingereza naipenda MAN U.......Hispania REAL MADRID.
 
M.united subilini dk90 ila kiukweli sioni dalili za ushindi zaidi ya kujipa matumaini tu.
 
madrid hawachomoki kwa man u, inyeshe mvua, liwake jua madrid tunawapiga 2-0
 
siku ya kufa Mbwa pua zote zinaziba...
Ngebe na ushambenga wa washabiki na makocha wa timu mbili hizi leo tutajuwa mlume nani, asusa nani...
 
Manchester utd - real madrid agg: 1-1

sir alex ferguson amesema hajutii magoli mengi waliyokosa mechi iliyopita bernabeu,

mimi pia naamin manchester utd itapata ushindi mzito na kikosi chake imara....bravo utd

yani leo hakuna kulala hadi kieleweke hapa Old Trafooo..d!
 
\

- José Mourinho has never won a Champions League game at Old Trafford.

Hebu futa makamasi hayo, aliwafanya nini na FC Porto in 2004 hapo OT? Au ile ilikua FA?
 
Hebu futa makamasi hayo, aliwafanya nini na FC Porto in 2004 hapo OT? Au ile ilikua FA?


1. WIN

2. DRAW

3. LOSE

man utd 1 - 1 porto , porto was qualified for 3 - 2 AGG.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom