Recent content by cabo peter

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tayari keshapost

    na wale wafanya mazoez kwa ajili ya kulinda amani wanatutisha mtaani wapo wapi. haha kwel kisu huliwa na kutu binadam huliwa na mtu. this country need diplomatic and wiser leaders
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kazi mwenye diploma ya account toka CBE

    how about procurement cio accounts bt college ni cbe
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jamani Azam TV tuhurumieni kwa kutuachia Local Channels

    startimes is headache. better live them
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jamani Azam TV tuhurumieni kwa kutuachia Local Channels

    mi mwnyew nimeshangaa kukuta kitu kma iko na ndo mwsho wa mim kuangalia tv sabab hamna cha msingi. na tcra wanaliona ili ujue na wamekaa kmya
  5. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania "wanyonge" na "masikini" tutaje nafuu tuliyoipata tangu awamu ya tano iingie madarakani

    angalau kodi iliokuwa inakatwa kila mwisho wa mwez ya umeme imeondolewa
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Israel kuwapa Wakenya 600 mafunzo ya ukulima wa maeneo kame

    israel. omg are you kidding
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mwana JamiiForums, umewahi kukumbwa na aibu gani? Mimi ni hii

    hahaha iyo nomaa mkuu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    mmeipenda wenyewe!, waacheni waandamane eee. shauri yao fisiem mbele kwa mbele. acheni niongee ukweli jamani kama ulishawahi bahatika kwenda nchi za wenzentu afrika hii hii mfano mzuri bondeni kwa madiba utagundua nchi yetu haiwajali kabisa wananchi wake leo hii acha nilitoe moyoni hili jambo...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi msimu huu wa sabasaba!!

    jina la kampuni mkuu. acha kutoka povu mbna swali dogo tuu ilo
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa zaidi ya wahitimu 5,000 kuanzia kesho

    mkuu taarifa yko haijajitosheleza. ujasema hafla itakapofanyika. muda
  11. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua chuo kinachofundisha Air ticketing kwa Dar es Salaam

    chuo chenye sifa nzuri ya hiyo couse yko ni NIT au magogoni
  12. C

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa wote wanaotafuta kuajiriwa

    inategemea na mfanya kazi mwenyewe mkuu. mtu analipwa 2M na amefnya kazi 3yrs the same time amejenga nyumba ya 150M bunju jiulize sasa apo ndo utajipatia jibu la swali lako
  13. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina diploma ya ugavi

    mungu wng. kumbe tupo wengi bila shaka utakuwa umesoma cbe.mimi kma ww dada ajira ngumu napambana. cha msingi usichague kazi ukipata we fanya tuu hata kma haina maslahi kiivyo kwan ndo unajitengenezea connection nzuri ya kujipatia ajira nzuri. usikate tamaa marufuku
  14. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi (Temporary), nina elimu ya kidato cha sita

    haha kaka umeua. kma unanisema mm na degree yng ya Business Administration
  15. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi (Temporary), nina elimu ya kidato cha sita

    kaka naunga tela nipo tayari 0712605935 niunge kiongozi
Back
Top Bottom