Natafuta kazi, nina diploma ya ugavi

Mgeni gani una faida? yani kuingia na kuingia unatangaza shida, sisi tulijua ndo kaingia meng, au menji, au mtu fulani kizito wana jf tuburudike kumbe umeongeza mzigo wa matatizo kama vipi jitoe bhana huna faida yani we sawa na m.. ke... tasa jf!
Hapana jamani,hii sio fair kabisa.
Kila member ana malengo/uhuru wake humu.
Kwanini umpangie mtu?Kwani huyu Dada kakukosea nini?
Kwani kuna sheria humu isiyoruhusu wageni kuomba kazi?
Kwakweli umeniudhi sana.
 
humu watu ni kaukau wakinusa ma kuhisi tu wanarusha!! wakati mwingine mtawarushi kaka ama dada zenu
 
Mimi naitwa Reachel.nimemalza diploma yangu ya ugavi... Natafuta kazi sehemu yoyote pale..
mungu wng. kumbe tupo wengi bila shaka utakuwa umesoma cbe.mimi kma ww dada ajira ngumu napambana. cha msingi usichague kazi ukipata we fanya tuu hata kma haina maslahi kiivyo kwan ndo unajitengenezea connection nzuri ya kujipatia ajira nzuri. usikate tamaa marufuku
 
Ahsanteee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom