Msaada kwa anayejua chuo kinachofundisha Air ticketing kwa Dar es Salaam

:)SORRY!!! NINGEPENDA KUFAHAMU ZAID FAIDA YA HYO KOZI NA UPATIKANAJI WAKE WA AJIRA AU UWEZO WA KUJIAJILI UPOJE??,,,,SHUKRAN
 
Ajira zipo na kuna mipango kibao inakuja kuna company moja ya airline inataka kufunguliwa ila kutkana na wabongo wanatnguliza rushwa mbele hhuyu mwekezaji anachlweshewa licence kwa kwa sababu ya wachache wanatka kitu kidg ili apewe kibali sasa ndo unakuja watu wanangaika ajira kwa sababu ya lijitu limetanguliza mtumbo mbele me nasema walaaniwe na kizazi chao mtu anashnda hotelin per day analipa 200 dolars then mtu anakataa tuu kumpa pasipo na sababu yeyote eee mungu embu mguse magufuli atumbue hili jipu naomba kwa kweli inahuzunisha since last year..mtu anazungushwa2..hata watu wao wa training watkuja na kuendsha coz zao hapa kwa bei nafuu ikiwa hata hyo air tiket unayotaka kusoma utasoma ukiwa na uwakika naajiriwa sehemu fulani...binadam tuna shida sana...mungu ainglie kati in jesus name kama kweli ameshakamilisha vigezo vyote alafu unamzungsha pasipo na sababu yeyote..mungu kaonekanie
 
:)SORRY!!! NINGEPENDA KUFAHAMU ZAID FAIDA YA HYO KOZI NA UPATIKANAJI WAKE WA AJIRA AU UWEZO WA KUJIAJILI UPOJE??,,,,SHUKRAN
Soma alama za nyakati. Flight Bookings nyingi kwa sasa zinafanyika online. Makampuni ya ndege yanapunguza baadhi ya wafanyakaz kwa sababu karib kila kitu katka reservations, zinafanywa na automated systems. Endapo utasoma, jitahidi ujue utendaje kaz wa hizi systems kama Airline GDS systems ambayo mojawapo popular ni ya Amadeus. Wenzetu hv vitu ni muda mrefu kwao vipo, ila kwa Tz ndio tunakoelekea.
 
Back
Top Bottom